chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,673
- 45,902
Magovi hii ni kitu imekua ngumu sana kutafuna kuna mpaka govinda mmoja kajichomoa akili anasema mpesa ina value of transactions sawa na, transactions za Germany 😂😂😂 Mkundustan anaamini yeye ndio alivumbua mpesa na hapaswi mtu mwingine kumzidi matumizi 😂😂 uchumi wa mama mboga wanalinganisha na uchumi wa minerals and gemstones