REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Wamerithi mavi! Hii hii mijengo na hivi vidirisha ni kama lupango!Yani sisi kwa sasa ndiyo benchmark yao, siku c nyingi utasikia wanapaka rangi huu uchafu, kama ilivyo ikulu walipoona tumejenga mpya wakapiga kelele raisi wao akaamuru ipakwe rangi 👇👇👇👇
View attachment 3295572