Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hadi bajaji as they call it sisi hulipa na mpesa
Ndo ivo sasa haitoshi mboga 😂😂
Screenshot_20250407-171446.jpg
 
Kila kitu hata peremende ya 1 bob. 😀
Na hii ndio inafanya value yenu iwe cheap sababu transactions zenu ni za vitu very cheap wakati Tanzania transactions zetu ni za vitu very expensive mfano nipo Dar nataka samaki tani 1 for my store I send money lake zone through mobile money, nipo mkoani nataka mzigo kariakoo na purchase through mobile, I want to purchase 2 lorries of tomatoes, onions, potatoes, banana it's the same case meanwhile Kunyaland huwezi kutrust mtu ivo lazima ufanye physical contact, Tanzania most shopping are operating online.
 
Wakikuja Kenya lazima washangae lakini hapa wanajifanya tu.


View: https://x.com/OmariKitula/status/1872688903729365205

Sijawai ona Mkenya akienda Tz alafu ashangae walivyopiga hatua kwenye mobile money ila wao wakija huku lazima uwaskie wakishangaa yet vinyangarika vingine humu ni vizuzu tu. Kama hujanotice ni wale wajinga wajinga wanabisha hili. Wale wenye ni level headed kiasi wamenyamaza juu wanaujua ukweli.
 
Even the new one is an urban concrete monstrosity. Ask anyone who knows a thing or two about architecture and they'll tell you that building has the character of saltless cold boiled potato.
That's why I tell them they've turned a would-be office complex into a judiciary building. Doesn't scream anything judicial
 
That's why I tell them they've turned a would-be office complex into a judiciary building. Doesn't scream anything judicial
Unataka uwaone hawa waganga huko ndio uamini hiyo ni judiciary building? They look like criminals after all
images (54).jpeg
 
Nguvu ya Tanzania huko mtandaoni inaonekana live.

Waseme tena followers ni wa kununua.

Hakuna post ya Al Masry iliyopata engagement kwa wingi kama hii ambayo wamewaweka machizi Soka.. Football nation. ⚽🇹🇿⚽🇹🇿
Screenshot_20250408_081554.jpg
Screenshot_20250408_081554.jpg
 
Hii ndio refference yako.? 🤣🤣🤣

Skiliza Lipa kwa simu zipo kila kona ya Tanzania hii… na kila siku mobile money mitandao inaongezeka. Ever heard of Azam pay..? 👇🏾View attachment 3295771hii hauhitaji kuwa na sim card. Na ni useful hata ukiwa na kiswaswadu unabonyeza zako hizo USSD code unatumia.

Watu kwasasa tupo mbali sanaaa budaa. 🤣🤣🤣 we endelea kutupigizia kelele za Mpesa.
Alafu wao kwao ni mpesa tu ndiyo mana anakuwa monopoly.
 
Back
Top Bottom