ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
wakenya wengi sana wanaitambua azam tv na coast ya kenya karibu yote dish za azam zimetapakaa, nairobi mpaka kisumu dish za kutosha hata kati i was in migori wengi wanatumia azam tv, punguzeni wivu na chukiSi uongo, kama wangekua trendy basi wakenya wengi wangeitambua lakini wapi!.., section yao ya sports can't compete with Supersport ata robo!.., iko wired for Tanzanians not East Africans, ata Waganda niko sure hawaitambui..,
supersport iko kwa ajili ya english premier league kwa soko la kenya hakuna kingine, lakini azam anachofanya ni kufufua mpira wenu uliokufa kwa miaka kadhaa ndio maana hata unaona wengi wenu munafurahia league yenu imefufuka yote ni juhudi za azam 😂😂😂