Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hujasoma the content of the tweet and you are here laughing.

This is what the content says, AU blames Moody for falsely lowering Kenyan rating to negative then a year later returns it to positive where it was.

Wewe ni mjinga.
Kiingereza balaa.
 
Yaani nyinyi mnapaonaga US kama wap vile...kwan marekani haiwezi kuwa shithole?

Instead of using your resources to build your nation mko kwa nchi za watu mnawaibia?
Yaani kimsingi mnawaabudu sana West na US...juzi kwenye post ya Larry, naona wakenya wanasema JNIA haiwezi kuwa the best kwa sababu haina direct flights to US, as if dunia iko US....Hamjiamini jinsi mlivyo, hamna stand. Hamna identity yaan kimsingi nchi yenu ni shithole
Na kaa mkijua hapa East Africa na Africa in General hakuna mtu anayewakubali wakenya...mnaonekana watu wa hovyo, parasites, roho mbaya nk
Juzi nilisikia Mganda anasema Kenyans have the problem of narcissism and big bro syndrome. Hawafai kuishi nao karibu
Mtanzania ni mtu ambaye akikuchukia anataka kila mtu akuchukia na anapoona sii hivyo atajidanganya kuwa kila mtu anakuchukia. 😂 😂
 
Mkenya amefika Znz kwa mara ya kwanza cheki reaction yake baada ya kuona samaki underwater. 🤣😂😂😂 kama kafunguliw milango ya peponi. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DEz9fiNtRiq/?igsh=MXdwcDM4Y2I0aHh0.

Mtanzania mwenzako unamuita Mkenya ndio ujifariji? Tena Mtanzania chawa? Huwa mnatamani approval ya Wakenya sana nyie watu.
Screenshot 2025-01-29 201656.png
 
Hawa akina Kagame na Mseven bado wapo na mentality za kizamani zana warmonger

Dunia sasa inaachana na maendeleo ya kutegemea vita na kuua watu.
 
Construction activities nimeskia umesimama pale Arusha mini stadium baada ya Tinga tinga ya kuchimba foundation kupotea msituni.

Meanwhile Talanta Stadium, it’s supposed to go up to 5th floor, Makwapa Stadium is only 2 floors.

1738173754141.jpeg
 
Back
Top Bottom