Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo kagame mwenyewe keshakutwa kavaa combat zimeandikwa M23 sasa tunasubiri nn kumvamia? Kwamba tunaogopa eti anapewa support na mabepari? Huu ni ujinga, inapaswa apigwe, asitegemee mali za nchi nyingine kunufaisha kanchi kake maskini au asitegemee kumega ardhi ya nchi nyingine cz mipaka ilishawekwa kitambo, apambane na milima yake au apelekewe moto.
Mzee sio rahisi hivi kwa sababu tutaonekana sisi ndio wenye kosa. Tutalimwa vikwazo vya kimataifa.

Me napendekeza ule mpango wa Mwakibolwa 2013 urudi, ulifanya Kagame awe na uadui na kikwete, simple unabadilisha kikosi kilicho Congo badala yake unapeleka Comando, unapiga mishe za kimya kimya. Kwa kua hakueleweki ni rahisi.

Njia ni moja jeshi la Congo na Serikali watangaze kufunga Mipaka ya Rwanda na Congo Mipaka Yote, pamoja na Anga zima. Kwenye mipaka ndipo upeleke jeshi heavy na vifaa vya kisasa, itapendeza upeleke jeshi la Tz ili Rwanda akiwashambulia tuwe na excuse ya kumlima.

Naamini wakifunga mipaka itakuwa ngumu sana kwa M23 kuwa na support tena

Ila nashangaa kila siku mipaka wazi wakizidiwa wanaingia Rwanda or Uganda.

2013 Mpaka kuwaondoa kabisa M23 kulikua na hizi zilifanyika.

1. Operation Kimbunga (Kuwaondoa wahamiaji haramu wote wa Rwanda kule mipakani ya Tz kwa sababu unaweza kua Congo alafu akawatumia kuharibu nchi hivyo wananchi kuwaka mbona tunalinda nchi nyingine na ndani kunawaka) Operation Kimbunga iliondoa Wanywrwanda elfu 20.

2. Kubadilisha Kikosi kupeleka kikosi cha Makomando fatilia interview ya wanajeshi baada ya ushindi utaona wana mbawa za Komando.

3. Uongozi wa juu wa Maamuzi ulikua kwa Mtanzania pale FIB (Force Intervention Brigade) Brigadier General James Aloyce Mwakibolwa (Wanaweza Mfata kwa elimu).

4. Jeshi la Congo haliaminiki mamluki wengi so ni bora kufanya mission iwe ya kivyetu kipindi hicho kulikua na MAMADOU NDALA hivyo mission ilikua haina uvunjaji wa taarifa ni kipigo kila sehemu.

Ila sasa ukizingatia mabadiliko ya Kiteknolojia matumizi ya madini kwenye vifaa vya teknolojia naona suala ni gumu sana ukute kila taifa linaloiba linataka machafuko.

Dawa ni moja kufunga mipaka ya Rwanda na Uganda hadi wapotee waasi wote na Jeshi la Congo wabadilishe waweke wale hata walio kwa Tshedeki.
 
Tanzania ni nzuri sana

1738055684782.png
 
Amiri Jeshi Mkuu alikuwa Kanali.
 
Back
Top Bottom