Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we believe it was magufuli strategics and plans, tatizo liko kwenye kujenga na usimamizi hapa ndipo kwenye shida kubwa na waswahili wanasema ukiona mtu anakusifu saana basi mpanguse asiwe miongoni marafiki zako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

haya mimi nipo .........
Umlnahamisha magoli ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Reli zote zinakamika 2030
 
nasemaje kama ni 2030 basi utuambie zilianza kujengwa mwaka gani ikiwa lots hzo zina 3+yrs hvi sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

shida ni ujenzi au shida ni usimamizi wa hela za mikopo inayokopwa ovyo??

kuna waziri yuko ofsini anataka aweke sahihi yake kwenye noti ya tanzania na hio ndio development kwa nchi yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
 
Mbona hukusanyangaa km 300 miaka 6? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
sio km 300 sema km 722 to dodoma and the case mradi kuchelewa walitaka ifike dodoma ili waanze kukusanya pesa kwa kua wangeanza na morogoro kusingekua na impact kubwa kama dodoma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ww hujiulizi kwann wamefungua lots mbili kwa wakat mmoja dar to dom ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Amefanya nani?

Na hizo section zingine subiria miaka 6 ikiisha uliza
 
kwani unafkiri alieanzisha angeiacha njiani??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ww hujuilizi kwann wakenya wanamuogopa sana magu ushawah kuona hata wanamchora picha amekufa amewekwa kwenye jeneza kama walivofanya kwa marais wa east africa ??

hebu tafuta mkenya yoyote humu ndani nenda nae inbox alaf muulize rais alieleta mageuzi makubwa tanzania utaskia mwenyewe wanakwambia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
we believe it was magufuli strategics and plans, tatizo liko kwenye kujenga na usimamizi hapa ndipo kwenye shida kubwa na waswahili wanasema ukiona mtu anakusifu saana basi mpanguse asiwe miongoni marafiki zako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

haya mimi nipo .........
Plan imekuwepo kabla hata ya magu kuingia madarakan
 
imekuwepo na ilikua inafanya kazi gani kwenye makabati ?? au ndio kashakufa mwenye nacho kila mmoja anasema ilianza kwake ???

kwani plan ya stiglers gorge /JN haydro power haikuwepo?? si ilikuwepo 50 yrs ago so ilikua inafanya nn hio plan?

juzi na jana bodaboda na bajaj na baadhi ya watu kuzuiwa kuingia mjini na wengine biashara zao kufungwa kabisa wameonja joto la maisha vp magu angeamua kueka quarantine kipindi cha corona hali ingekuaje?
 
kwani unafkiri alieanzisha angeiacha njiani??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ww hujuilizi kwann wakenya wanamuogopa sana magu ushawah kuona hata wanamchora picha amekufa amewekwa kwenye jeneza kama walivofanya kwa marais wa east africa ??

hebu tafuta mkenya yoyote humu ndani nenda nae inbox alaf muulize rais alieleta mageuzi makubwa tanzania utaskia mwenyewe wanakwambia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yule Jamaa yenu angekuwepo tungepata tabu sana karibia Zimbabwe type ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom