Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanakuambia anapewa support na mabepari, yn kajamaa kanaifanya EA vile kanataka, bila kupigwa hakataachia jimbo cz ndiyo jimbo linalompa jeuri ya kulisha mpaka jeshi linalomlinda, kukosa mali za Congo kagame na Rwanda yake wanabaki na milima tu.
Kuna kitu kamekera sana imagine kumuweka Mkuu wa Majeshi mstaafu Gen. Patrick Nyamvumba kuwa Balozi wa Tanzania na jamaa haziivi na JWTZ I hope Tanzania itamkataa kuwa Balozi.

Ndio shida ya kujaza wajinga kwenye mambo muhimu kina mwinjako, Dotto Magari, Manara yani ufala ufala kwenye inshu za kitaifa. Mwisho tunakua na watu wasio na background ya mambo kazi matumbo afadhali kuna jamaa aliwanasua.
 
"Tunaweka folded seats uwanja mzima" kasahau kwamba nchi nzima inanuka wizi na corruption, matokeo yake vimewekwa viti jua kali vya kizamani tena eneo la VIP tu, mbaya zaidi havina hata namba 🤣🤣🤣🤣🤣
downloadfile-20.jpg
downloadfile-19.jpg
 
Kuna kitu kamekera sana imagine kumuweka Mkuu wa Majeshi mstaafu Gen. Patrick Nyamvumba kuwa Balozi wa Tanzania na jamaa haziivi na JWTZ I hope Tanzania itamkataa kuwa Balozi.

Ndio shida ya kujaza wajinga kwenye mambo muhimu kina mwinjako, Dotto Magari, Manara yani ufala ufala kwenye inshu za kitaifa. Mwisho tunakua na watu wasio na background ya mambo kazi matumbo afadhali kuna jamaa aliwanasua.

View: https://x.com/RwandaInTZ/status/1823010470615286093
 
Back
Top Bottom