Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,627
Ushago vibes, wanauziwa hadi mashamba ya kufanya kilimo in dar is a slum. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/DalaliMoyodsm/status/1839256439648346354
Kichwa panzi kongowe haipo dar maku ww
Ushago vibes, wanauziwa hadi mashamba ya kufanya kilimo in dar is a slum. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/DalaliMoyodsm/status/1839256439648346354
Kwa hivyo Mbagala iko wapi? Tulia, ju hata sio wewe unauza hio shamba.Kichwa panzi kongowe haipo dar maku ww
Stop being desperate kijana wa Tandale. This is a screenshot from your link. Does this look like a farm to you?Mashamba yako hadi Karen yakulimia viazi 🤣🤣🤣
![]()
Farms for Sale in Nairobi
Find Farms for sale in Nairobi through Property24 Kenya.www.property24.co.ke
Huyo anakula jasho lake. Bora hiyo kuliko kuwa ombaomba barabarani kwenye nchi jiraniView attachment 3194841
Sawa tajiri
Hiyo 600sqkm has more economical activity and political influence than 1500sqkm of uswazi hovelsUtapata wapi kasehemu kadogo 600sqkm? Ni mbuga na vishamba vidogovidogo vya sukuma wiki the rest ni ma slums.
Ushago vibes, wanauziwa hadi mashamba ya kufanya kilimo in dar is a slum. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/DalaliMoyodsm/status/1839256439648346354
Don't confuse a garage with a showroom. Kama Mwanza your second biggest city ndio haina hicho Kijiji Cha sijui Tanga ndio itakuwa nayo? Nenda utangetange hukooo!Kwahiyo mnajidanganya halafu mnajichekesha 😂😂 hiyo Tanga tu my hometown unayo Toyota show room.
Na mimi ninakuambia kwamba hayo sio remmitances. Remmitances by definition ni hela, ni monetary. Lazima iwe ni pesa..e
Nimekwambia mist tanzania walio nje wana prefer kutuma vitu nyumban mbadala wa hela yaan badala ya kumtumia mama usd 2000 nakuwa namtumia vitu vya dukani ili auze apate faida mara mbili
Shida yako ni kuongea unayoyafikiria tu kwenye akili yako. And even if we go with your argument, still one can do much with $400 monthly in Kenya especially rural Kenya where the remmitances are actually mostly sent. Also, remittances are not specifically meant for investment, it could be pocket money or internet money as you put it.Usd 400 kwa mwezi watafanya investment gani huko kunyaland,while wakirudi likizo hata internet wanashindwa kuafford
I’m slow but could you be kind to send me the name and picture of the 16 lane roadNyie watu kwa kupenda sifa, hivi na sisi tukiamua kutumia "first" kwenye miradi yetu kutakalika hapa?
....
- EMU
- Train speed 160km/hr
- Power to every village
- Gulfstream G700
- Longest bridge
- Airbus A220
- HEP 2115MW
- BRT
- 16 lane road
- Modern markets
- Modern bus stations
- Cape gauge railway
Ni mengi sana kwa kweli ila tunakausha tuu.
Kwa hivo expressway uliharibiwa kwa sababu majani yaliharibiwa, got you.Nimekuambia iliharibiwa baada ya miezi 6, sio nyinyi mlipanda majani kwenye nguzo za Xpressway? Yalienda wapi ndani ya miezi sita? Huo ni uharibifu au tuiteje? Nyie hamko civilized kubalini ukweli, na ukitaka uharibifu zaidi niambie nikuoneshe. Huwa mnapiga picha za infrastructure wakati wa uzinduzi ili muendelee kuongopea watu but after uzinduzi infrastructure huwa zinakuwa hoi, iko wapi iko wapi likoni floating bridge? Si imeshakufa? Nyinyi hamko civilized wazee.
Imagine mlemavu asie na pasipoti,anapataje ujasiri wa kuingiahuko kunyaland bila border police wenu kumtambua!hao omba omba ni wakunya wenzenu,nachowashauri tu njoeni muwachukue wezi wenu huku soin tutaanza kuwachoma motoHuyo anakula jasho lake. Bora hiyo kuliko kuwa ombaomba barabarani kwenye nchi jirani
Kimara kibaha,kibaha iko dar?Kwa hivyo Mbagala iko wapi? Tulia, ju hata sio wewe unauza hio shamba.
🤣 🤣 🤣 Hii "electronic sgr train" ilifungua mwaka na kukwama kama kawaida.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1874527191985479842