Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tell him the largest immigrants to the US come from Mexico, India and China then ask him kati ya hizo nchi tatu ni gani masikini kushinda Tanzania.
Wewe ni fala, hapo ni nchi gn developed ukiacha China ambayo inajulikana ni wafanyabiashara? Hao china wenyewe wanakuambia bado hawajawa developed nation.
 
Hata Arusha sidhani kuna Toyota showroom, bongoslum kila kitu ni dar is a slum na wakikosa Dar inabidii wakuje kutafuta Nairobi.
Alafu utasikia wakisema Kenya ni Nairobi tu wakati hali ni tete kwao lazima washuke Dar Kwa karibu kila kitu au wavuke waje Kenya
 
So, unashangaa shamba kuwepo dar? Kwani Nairobi hakuna mashamba? Kaeneo kenyewe kadogoo only 600 sqkm na bado kuna mbuga ya wanyama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuletee habari ya mashamba(farming land) kuuzwa Nairobi tuone
 
Walichobaki nacho ni ku host draw tuu ili na wao wapate neema za CHAN 🤣🤣🤣
Jana mmoja wenu alisema hata hiyo draw haitafanyika Kenya. Less than 24 hours later, the storyline has changed to it's the only thing we'll do.

Do you guys remember when you said we'll not even construct talanta Stadium? Ile mshtuko itawapiga wakati tukihost both opening and closing ceremonies bado inapiga press-ups!!
 
Maghorofa yanajengwa wapi? 🤣🤣

Image
Is this Dar es salaam?😳
 
Back
Top Bottom