Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Slum? Umesahau your entire city is a slum? Slums starting right at the end of the cbdView attachment 3193684
20250105_232824.jpg

Machafu chafu umepiga mswaki?
 
Wacha hata Mombasa. Kwetu Migori wamejaa wanafanya kazi za nyumba. We even had one at home a year ago. Wanaume wal nao wamejazana kule Macalder gold mines wakifanya kazi na mishahara duni huko. Wasukuma wako huko kama nzige. Alafu wachafu kinoma!
We mwenyewe mchafu, ukibisha nipost picha yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
So, unataka kulinganisha na kkoo?
Nimesema niletewe picha kama hiyo kutoka Kariakoo nawe bado unauliza maswali za kijinga!

Saidia mwenzako unipe picha kama hiyo of such green nets popopte Kariakoo tuone
 
Express way hii hii iliyochoka baada ya miezi 6 au kuna nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3193291
Firstly, Get your facts right.
1. That is not the expressway, the expressway is the road above.
2. The expressway opened in May of 2022. Its not 6 months old but 2 years and 7 months old.
Yaani your 1 sentence is full of fallacies and you want people to believe what you say..
 
Showoff zipo sana and mnajulikana kwa hilo. Kuhusu remittances watanzania wanaprefer kutuma materials badala ya pesa. Ntakupa mfano in mozambique the leading bus company with over 500 busses ( Nagi investment) ni ya mtu wa shinyanga Sulaiman. Watu badala ya kutuma pesa wanaprefer wafanye manunuzi ya vitu kama mitambo ambayo wanakuja tena kuuza tanzania double profit.
Mfano mwingine ilikuwa maning nice badala ya kutuma pesa akawa ananunua direct magari China na kuyaingiza tanzania badala ya kutuma pesa ambayo in return bado angehitajika alipie 30% ya income tax.
Tukibaki na mfano tu wa mozambique 60% ya flour processing units in nampula and pemba are owned by Tanzanian and huwez kuta wanatuma pesa but the prefer making direct payment letsay kwa wakandarasi kwa majengo wanayokuwa wanajenga tanzania badala ya pesa ila kwa sababu wakenya hamna elimu ya ujasiliamali mnaona sifa kutuma pesa . Watanzania hawatumi pesa na zinazotumwa ni zile ndogo za kununulia mboga
Why are you comparing investments to remmitances. Nani alikuambia wakenya walio abroad hawafanyi investments kwa nchi yao?
 
Other sectors such as education the government has invested alot free education up to high school, on health alot of investment has been done new zonal referral hospitals, health centres have been established all hospitals have been equipped with modern equipment, specialist services have been brought down to lower levels of care, electricity supply 99% water 95% what more do we need from our leaders apart from encouraging them to continue delivering maendeleo?
😂😂😂 this one needs prayers
 
anaemiliki pasi ya america hawezi kuwa na ujinga kama wako,eti ukifika TZ ukaribishwe na dance,kilaza kigamboni wamejaa AA,salasala na mbezi beach wapo kibao,arusha ndio usiseme,wengi wao wanaoa na kuolewa na wabongo,eti mpumbavu dereva uber sealt upokelewe na dance!unajikweza sana mshamba wa america
Tell your Auntie to keep practicing…am coming soon …. 🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_5502.jpeg
 
Back
Top Bottom