Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Compare this environment with Changómbe. 😂 😂
a2-jpg.8520633
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
kenya wapo mbele sana
kuanzia uchumi
na mengineyo
mie sitetei sana ila amin kenye ipo mbele
mfano _ukisema majengo kuna sehem zilizo nje ya mji tena zile kwao wanasema wanaish wasio na hela mfano kuna kibira huko kuna dandora huko relin ila n maghoro sio yale ya kitoto.bei ya chumba KSH 5000 HAD KSH 7000,8000 ,bei ambayo kwa huku kwetu unaishi masaki tena kwa raha na starehe.
👉uje barabara zipo barabara kali
mfano ile highway 🛣 inayotoka mombosa mpka city center zipo barabara 2 tofaut moja ndio sisi tunazotumia ambazo n mwendo kasi
.. nyingi ipo barabara ya maboss huko unalipia kupita io njia hakuna foleni hakuna traffic ni full kujiachia..
huku sisi ndo kwanza tunasumbuka na njia ya mwendo kasi 😅
👉magari sasa na daladala apo nitulie tu gar zipo kule sticker kama zote mdundo had raha full smart tv unakaa umetulia tu
👉huku kwetu sasa

kwenye vyakula mostly wanachukua kwetu apo nakubal
elimu wapo juu pia coz kuna utofaut sana anae maliza chuo kule ata asipo pata ajira wao kujiajir n simple kutokana na kile ulichosome sis bado utakaa ukianzisha kile unarudishwa kule
nenda kariakoo utakuta mtu anauza hereni ila phd zipo kama zote
so tukubali tu wapo mbele ila sio kwa vyote vile vikibwa wanatuzid cc tupeleke
👉mziki,mapishi,warembo,ukalim,na vinginvyo ila kusema battle ya maisha bado.
 
Wanafaa kujua hii itakua a sports city, already kuna golf course, horse racing track, motocross, rugby pitch, polo field, padel court, shooting range etc.
All Nairobi needs is a 10k- 15k seater indoor arena and with Kasarani renovation, Nairobi can host commonwealth games easily.
 
These are symptoms primitivism and inferiority complex….Unlike you, we are a civilized society… you will never see a Tanzanian beggar being paraded in Kenya with a sign just for humiliation…Bongo is still in homo erectus stage….grow up !
Kasumba hii ilienea sn Kenya kwamba beggars wengi pale Nairobi ni watanzania, ilikwenda mpaka bungeni kwamba waondolewe, wakaaminishana huo upuuzi na kwamba wale beggars warudishwe kwao Tanzania, basi bwana mission ya kukamata beggars kuwarudisha kwao ikaanza hahahahaaa wakaja kugundua 100% ya beggars wote ni wakenya na kati yao 90% ni wajaluo, zilizobaki wanagawana makabila mengine. Mpaka leo wamekausha kimyaaa huo mjadala haukuwahi kuongelewa tena bungeni, wamebaki hawa wanuka mavi wa mitandaoni wakijifariji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kasumba hii ilienea sn Kenya kwamba beggars wengi pale Nairobi ni watanzania, ilikwenda mpaka bungeni kwamba waondolewe, wakaaminishana huo upuuzi na kwamba wale beggars warudishwe kwao Tanzania, basi bwana mission ya kukamata beggars kuwarudisha kwao ikaanza hahahahaaa wakaja kugundua 100% ya beggars wote ni wakenya na kati yao 90% ni wajaluo, zilizobaki wanagawana makabila mengine. Mpaka leo wamekausha kimyaaa huo mjadala haukuwahi kuongelewa tena bungeni, wamebaki hawa wanuka mavi wa mitandaoni wakijifariji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mr . Alaska 007 … if you was a Pinocchio.. your nose would be now stretching from Tandale to the snowy mountains of Dodoma ….🤣🤣🤣🤣
 
😂😂 I lived in Mombasa and worked in Nairobi in 2022, used to take a train every Friday and return on Sunday and I can assure you it takes 5 hrs Express,6hrs inter county and it never stalled, neither did I hear of any news of it stalling lol. There is probably hundreds of videos on YouTube to back this claim, besides you can go right now to the sgr website and see how long it takes for the express train. Mind you 6 hours when it stops in all 7 stations between Nairobi and Mombasa
Lemme just rub it in there in case you forgot how they look like
View attachment 3195100
View attachment 3195101
View attachment 3195104
View attachment 3195102
View attachment 3195108
Madaraka Express

View attachment 3195113
View attachment 3195123
View attachment 3195124

Then this absolute monstrosity
View attachment 3195116
View attachment 3195122
View attachment 3195118
View attachment 3195119
Hivi nyinyi wakenya kwnn ni wajinga hivi? Hii train yetu ni new technology bado ipo kwenye majaribio, hilo suala la kukwama ni kawaida, after hapo tunakuwa tayari tushajifunza, huwezi kusema eti sisi train zetu hazikwami lkn zenu zinakwama, eti ndiyo upate nafuu kwa kuji console. Daima reli yenu haitokuja kuwa efficient kuliko reli yetu ya umeme, never. Sisi pia tunayo reli kama hiyo yenu ambapo train zake zinatumia diesel, je ushawahi kusikia train imekwama? Ni kwasababu sio technology mpya kwetu tunaijua vzr tangu enzi za mababu, but hii ni technology mpya hata nyinyi miaka ijayo huko mkibarikiwa kuwa nayo ni lazima mtakuja kujifunza hapa, kwasababu sisi tutakuwa tayari tuna miaka mingi tunai run.
 
Back
Top Bottom