Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So are you assuming everyone who migrate to the US for an opportunity is from a poor country?…..Mr Watchman … stick to your rungu speciaty….
Starting with you. Wengi wenu mnatokea shit countries hasa nyie mnaotafuta fursa za kuajiriwa, ni mara chache sn ukute mtu anatokea GBR au Germany au Japan alafu awe na ndoto za kuajiriwa nchi za ughaibuni.
 
So hii ndo sinza yako? Au kwa kuwa umeona lile blue tower kwa mbali😂

I told you to visit Tanzania. I will host you.
Upunguze aibu Ndogo ndogo
Tangu juzi nilimwambia haijui Sinza zaidi ya kuokoteza picha mtandaoni tuu.
 
So, walisomea hizo professions ili wasaidie nchi yao au wakasaidie nchi za wengine? Mbona wakenya wote ni wajinga namna hii? Hivi wewe nchi yako ingekuwa iko developed na fursa nyingi ungekimbilia nchi za watu? Kuweni na akili japo kdg basi. Kutokana na hali ngumu nchini kwenu na ukosefu wa fursa wakenya wengi wamekimbilia Tz, na wengi wao ni walimu, FYI Tz ni the biggest source of remittance kwa Kenya kwa hapa Africa, hapo utasema nani maskini?
They have a serious issue of brain drain. Yaani kodi za wavuja jasho wa Kenya zinatumika kusomesha watoto ili wajenge nchi yao hapo baadae wao wanaenda kujenga nchi zilizojengeka tayari and they end up kuridhika na peanuts in the name of remittances. Aliyewaloga kweli kafa 🤣🤣🤣
 
Ila huu ni mtaa wa hadhi ya chini Kenya. Hiyo sinza ndio Kilimani yenu.😂😂
Au sio.
Na hio sio kibera, wala Mathare, kawangware, nk

Sema mna mazingira mabovu kinyama
Na hapa ndo kuna km 7000 za lami?....kimji chenye 600sqkm na national park within
1733675102508.jpg
 
Bongoslum is a one city country. 🤣 🤣 🤣 Mwanza their second largest city hata showroom ya Toyota hakuna, yet it's the most popular car brand in bongoslum.
You mean Mwanza Haina showroom ya Toyota! 🤣🤣🤣🤣Kitu hata Kisii town Iko nayo!

Alafu tukiwaambia wakenya wanamiliki magari mengi kuwaliko wanaleta kelele
 
Bongoslum is a one city country. 🤣 🤣 🤣 Mwanza their second largest city hata showroom ya Toyota hakuna, yet it's the most popular car brand in bongoslum.
Yani ukitaka kununua gari lazima uende Darislum alafu wako humu wanatuambia Kenya is a one city country. 😂 😂
 
You mean Mwanza Haina showroom ya Toyota! 🤣🤣🤣🤣Kitu hata Kisii town Iko nayo!

Alafu tukiwaambia wakenya wanamiliki magari mengi kuwaliko wanaleta kelele
Hata Arusha sidhani kuna Toyota showroom, bongoslum kila kitu ni dar is a slum na wakikosa Dar inabidii wakuje kutafuta Nairobi.
 
So are you assuming everyone who migrate to the US for an opportunity is from a poor country?…..Mr Watchman … stick to your rungu speciaty….
Tell him the largest immigrants to the US come from Mexico, India and China then ask him kati ya hizo nchi tatu ni gani masikini kushinda Tanzania.
 
Back
Top Bottom