Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kumbe tunabishana na kichaa.? 😂😂 can’t you see humo ndani kuna gari ziko displayed.?Mbona unaita garage showroom. 🤣 🤣 🤣 Huoni hata ni tyres zimeanikwa huko ndani.
Kumbe tunabishana na kichaa.? 😂😂 can’t you see humo ndani kuna gari ziko displayed.?Mbona unaita garage showroom. 🤣 🤣 🤣 Huoni hata ni tyres zimeanikwa huko ndani.
Hii inakaa kibanda ya mama ntilie. 😅We mshamba showroom inafanana hivi kama hujui.
![]()
Bongolala umesahau nchi yako ndio inaongoza kwa umasikini ukanda huu? Mbona mnajiliwaza hivi!?
Kibanda hufanana hivi? 🤣 🤣 🤣 Meza aibu zako za hio garage ya kwenu na utulie.Hii inakaa kibanda ya mama ntilie. 😅
Utapata wapi kasehemu kadogo 600sqkm? Ni mbuga na vishamba vidogovidogo vya sukuma wiki the rest ni ma slums.Kuna kipindi nilileta humu picha za mashamba za mihogo ndani ya Dar. Tena mashamba makubwa sana. Tell me where in Nairobi you can get any farming land
Mwambie aweke picha ya juu ucheke 🤣🤣🤣🤣🤣Hii inakaa kibanda ya mama ntilie. 😅
Hiki ni kibanda cha Vioo mzee 😂😂 mbona unakua muongo muongo hadi unapinga vitu vinavyoonekana kwa macho.?Kibanda hufanana hivi? 🤣 🤣 🤣 Meza aibu zako za hio garage ya kwenu na utulie.
![]()
![]()
Unaita duka ya kuuza spare parts ati ni show room? Akili ndio shida ama maana ya show room ndio hujui?
Hamtoandaa Chan wala afcon msijiliwaze.Jana mmoja wenu alisema hata hiyo draw haitafanyika Kenya. Less than 24 hours later, the storyline has changed to it's the only thing we'll do.
Do you guys remember when you said we'll not even construct talanta Stadium? Ile mshtuko itawapiga wakati tukihost both opening and closing ceremonies bado inapiga press-ups!!
Hiyo ni show room na imejitosheleza, ina garage na duka la kuuza spare parts hapo hapo bcoz it’s a huge building, very wide. 👇🏾Unaita duka ya kuuza spare parts ati ni show room? Akili ndio shida ama maana ya show room ndio hujui?
Ebu tuonyeshe magari zikiwa kwa display.Hiyo ni show room na imejitosheleza, ina garage na duka la kuuza spare parts hapo hapo bcoz it’s a huge building, very wide. 👇🏾View attachment 3194844
Kimsingi sina picha lakini gari zinakuwaga displayed ndani mtu akipita nje anaona. Hiyo ipo TA miaka na miaka, tangu nimezaliwa hapo palikuepo. Sasa sijui kwanini nyinyi mnaona fahari. Mwenzako amepost kale kakibanda ku brag. 😅Ebu tuonyeshe gari sikuwa kwa display.
Hebu post magari yakiwa kwa display kwenye hiyo showroom yenuEbu tuonyeshe magari zikiwa kwa display.
Wanajiitq watengenezaji wa mabasi ila kwa mwaka wanashindwa import walau chassis 200 kwa ajili ya mabasi tu, huku tanzania kila roro likitua lazima lishushe dozens ya mabasiKimsingi sina picha lakini gari zinakuwaga displayed ndani mtu akipita nje anaona. Hiyo ipo TA miaka na miaka, tangu nimezaliwa hapo palikuepo. Sasa sijui kwanini nyinyi mnaona fahari. Mwenzako amepost kale kakibanda ku brag. 😅
So in short hiyo sio Showroom Bali ni duka la spare parts?Kimsingi sina picha
This your post clearly shows hajaiona vehicles show rooms.Hebu post magari yakiwa kwa display kwenye hiyo showroom yenu
We build more than 3,000 buses in a year. So tukiwaambia we are big wings in Bus buildings mnafaa kutulia.Wanajiitq watengenezaji wa mabasi ila kwa mwaka wanashindwa import walau chassis 200 kwa ajili ya mabasi tu, huku tanzania kila roro likitua lazima lishushe dozens ya mabasi
Mimi sijaona vehicles kwenye showroom ya eldoret , hebu tuwekee tuone? Au unaogopa kusema kuwa eldoret ni kiofisi tu kisicho na magariThis your post clearly shows hajaiona vehicles show rooms.
Leta proof ya 6000 units ya buses, kwa sababu kila tukiangalia idad ya mabasi yanayoingia barabarani mapya kwa mwezi hayafiki hata 50,We build more than 3,000 buses in a year. So tukiwaambia we are big wings in Bus buildings mnafaa kutulia.
Naona imekuuma vilivyo. 🤣 🤣 🤣 Lakini at least umetoa ushamba, sasa umejua showroom ni nini.Hiki ni kibanda cha Vioo mzee 😂😂 mbona unakua muongo muongo hadi unapinga vitu vinavyoonekana kwa macho.?