Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni kichaa auu? Si uliweka mwenyewe picha ya kasehemu kadogo Ka kariakoo lkn ukakutana na more than 5 buildings u/c au co wewe uliweka hii picha 👇👇View attachment 3193857
Ujinga wako haina kipimo. Bongolala, naweza kukuletea picha kutoka hata Donholm ama Kasarani showing five buildings under construction.

The point here is, mlisema Kariakoo kunajengeka kuliko sehemu yoyote Nairobi. Ndio nikasema kama ni ukweli utupe picha kutoka Kariakoo inayokaribiana na ile ya Eastleigh niliyoweka humu tuone. Hii picha ya Kariakoo unayotembeza hapa ni mimi nilipost baada ya nyinyi kukosa jibu. Hadi kufikia sasa sijaona jibu.
 
Why are you comparing investments to remmitances. Nani alikuambia wakenya walio abroad hawafanyi investments kwa nchi yao?
Huyo achana naye. Unajipoteza wakati, ndio maana Mimi nimeweka laugh reaction kwa point zake na nikamuacha. Hajui maana ya remittances.
Hivi ukifanya kazi ughaibuni alafu uinvest nchi yako hiyo sio remittances? Kwani hizo investments zinakuja on form of what?
Remittances ni value ya any transfer made back to your own country. So hata ukinunua gari ukiwa ughaibuni alafu uliexport back to your home country, hiyo ni remittance. Sasa akisema Tanzanians invest back to their country more than Kenya mbona hizo investments hazireflect kwa remittances? Hiyo ni mjinga wa kupuuza.
 
Ujinga wako haina kipimo. Bongolala, naweza kukuletea picha kutoka hata Donholm ama Kasarani showing five buildings under construction.

The point here is, mlisema Kariakoo kunajengeka kuliko sehemu yoyote Nairobi. Ndio nikasema kama ni ukweli utupe picha kutoka Kariakoo inayokaribiana na ile ya Eastleigh niliyoweka humu tuone. Hii picha ya Kariakoo unayotembeza hapa ni mimi nilipost baada ya nyinyi kukosa jibu. Hadi kufikia sasa sijaona jibu.
Usinipotezee muda 🚮🗑️
 
Nyie watu kwa kupenda sifa, hivi na sisi tukiamua kutumia "first" kwenye miradi yetu kutakalika hapa?
  • EMU
  • Train speed 160km/hr
  • Power to every village
  • Gulfstream G700
  • Longest bridge
  • Airbus A220
  • HEP 2115MW
  • BRT
  • 16 lane road
  • Modern markets
  • Modern bus stations
  • Cape gauge railway
....
Ni mengi sana kwa kweli ila tunakausha tuu.
Ati power to every village? With a national average of 40% access to electricity
1735642242980.jpg
 
aisee hongera sana kwa kulinganisha mradi wa county yaani waserikali na kiwanja ambacho ni cha political party. hivi ODM wana investmnt yoyote au wanategemea posh t?
Political party wana own uwanja for what purpose? Misplaced priorities.
 
Nyie wote mnaobishia Rural electric connectivity msubiri mabwana wenu wawaandike uzuri project ipo finaced by World Bank, EU, Tz Government, so mtazipata kwa Mabwana wenu tu.

Tukiwaambia mnakua wabishi.

Tambua TANESCO na REA ni vitu viwili tofauti, hata ukinunua umeme via TANESCO unakatwa hela ya REA,

TANESCO kwa 10k unapata uniti 28 za umeme ila REA ni 77.

Kama mna kijiji kisichounganishwa na umeme mtuletee tafadhali.

Mkumbuke gharama ya kuunga REA majumbani ni Tsh. 28,000

Ndio maana kuna member kasema yoyote aliyeshindwa kuunga umeme wa REA au kuwasaidia ndugu kuunga REA ni fala like elfu 28 tu watu washindwe na vijijini ndio hao wanawalisha nyie wehu

Zamani ilikua inakua ngumu kuunga TANESCO sababu unakuta unaambiwa ulipie nguzo etc gharama zinafika hadi 1million vijijini hawawezi, ila REA inaleta nguzo kijiji kizima kazi yako.kulipia Tsh 28,000 tu.

Ndio washindwe kufika 99%

1000010931.jpg
 
Back
Top Bottom