Nimekwambia mist tanzania walio nje wana prefer kutuma vitu nyumban mbadala wa hela yaan badala ya kumtumia mama usd 2000 nakuwa namtumia vitu vya dukani ili auze apate faida mara mbiliWhy are you comparing investments to remmitances. Nani alikuambia wakenya walio abroad hawafanyi investments kwa nchi yao?
Nyie watu kwa kupenda sifa, hivi na sisi tukiamua kutumia "first" kwenye miradi yetu kutakalika hapa?Talanta Stadium, the first 60,000 capacity football specific stadium in East Africa.
Kweli nchi imesimama yaan kujenga uwanja mmoja tu wa mpira mpaka mmeshindwa kuwalipa Dr's. Mishahara, Mtafikisha sgr malaba kweli.Talanta Stadium, the first 60,000 capacity football specific stadium in East Africa.
View attachment 3193818View attachment 3193822
Mwambie akuoneshe ndege ya rais waoNyie watu kwa kupenda sifa, hivi na sisi tukiamua kutumia "first" kwenye miradi yetu kutakalika hapa?
....
- EMU
- Train speed 160km/hr
- Power to every village
- Gulfstream G700
- Longest bridge
- Airbus A220
- HEP 2115MW
- BRT
- 16 lane road
- Modern markets
- Modern bus stations
- Cape gauge railway
Ni mengi sana kwa kweli ila tunakausha tuu.
Duh hizo picha za zamani sana daladala mkanda huo haipo tena miaka mingi tuu😁Bongolala, stop stressing yourself with Nairobi. I can show you a million poor roads from your glorified fishing village. Shugulika na ya Dar Kwanza View attachment 3193394View attachment 3193395View attachment 3193396View attachment 3193397View attachment 3193398
Nyie kaeni hapo na vidata vyenu vya kujiliwaza mkija toka usingizini ulaya itakuwa imesogezwa mpakani mwenu na kuwarahisishia fursa za remitansi.Did you say 99% electricity supply and 95% water? Are you on hard grugs or something? Can you back up these claims?
Umetaka data umepewa sasa hutaki tena? Unaleta ubishi tuu hapa.Alafu wewe pia ukaamini? Kwamba mko at par with European countries?🤣🤣🤣
Electricity demand has increased by more than 400MW in a span of one year only. That is 25% ya all demand.Yet your government still says that only 3.5M customers are connected to electricity, can’t you see how dumb you are?
Are 3.5M equivalent to 99% Tanzanians?
As you enter Nyeri town from Thika. And the greenery!! Tanzania huwezipata dual carriage kama hii nje ya miji ya Dar na maybe Arusha
View: https://www.facebook.com/reel/8887648181328125/?mibextid=5GKqozciEe797PD2
Hajui lupaso ni 60k seaters kweli ushamba ni mzigo.Nyie watu kwa kupenda sifa, hivi na sisi tukiamua kutumia "first" kwenye miradi yetu kutakalika hapa?
....
- EMU
- Train speed 160km/hr
- Power to every village
- Gulfstream G700
- Longest bridge
- Airbus A220
- HEP 2115MW
- BRT
- 16 lane road
- Modern markets
- Modern bus stations
- Cape gauge railway
Ni mengi sana kwa kweli ila tunakausha tuu.
Umesahau the first largest cargo freighter in the region 767 300FNyie watu kwa kupenda sifa, hivi na sisi tukiamua kutumia "first" kwenye miradi yetu kutakalika hapa?
....
- EMU
- Train speed 160km/hr
- Power to every village
- Gulfstream G700
- Longest bridge
- Airbus A220
- HEP 2115MW
- BRT
- 16 lane road
- Modern markets
- Modern bus stations
- Cape gauge railway
Ni mengi sana kwa kweli ila tunakausha tuu.
Wewe ni kichaa auu? Si uliweka mwenyewe picha ya kasehemu kadogo Ka kariakoo lkn ukakutana na more than 5 buildings u/c au co wewe uliweka hii picha 👇👇Nimesema niletewe picha kama hiyo kutoka Kariakoo nawe bado unauliza maswali za kijinga!
Saidia mwenzako unipe picha kama hiyo of such green nets popopte Kariakoo tuone
Nimekuambia iliharibiwa baada ya miezi 6, sio nyinyi mlipanda majani kwenye nguzo za Xpressway? Yalienda wapi ndani ya miezi sita? Huo ni uharibifu au tuiteje? Nyie hamko civilized kubalini ukweli, na ukitaka uharibifu zaidi niambie nikuoneshe. Huwa mnapiga picha za infrastructure wakati wa uzinduzi ili muendelee kuongopea watu but after uzinduzi infrastructure huwa zinakuwa hoi, iko wapi iko wapi likoni floating bridge? Si imeshakufa? Nyinyi hamko civilized wazee.Firstly, Get your facts right.
1. That is not the expressway, the expressway is the road above.
2. The expressway opened in May of 2022. Its not 6 months old but 2 years and 7 months old.
Yaani your 1 sentence is full of fallacies and you want people to believe what you say..
Wazazi gn hao? Anaongopa, huyo alishinda DV kama walivyo wakenya wengi ambao ni ma hustler kutokana na hard life wanayozaliwa nayo, na wakifika kule wanabeba box zen wanaojiongeza wanaendesha roli kama huyo bwege.Wazazi wa huyu kijana walikosea sana kumtoa Kenya akiwa mdogo. Itakuwa ni vigumu sana kujitambua ukubwani😂
Ujinga wako haina kipimo. Bongolala, naweza kukuletea picha kutoka hata Donholm ama Kasarani showing five buildings under construction.Wewe ni kichaa auu? Si uliweka mwenyewe picha ya kasehemu kadogo Ka kariakoo lkn ukakutana na more than 5 buildings u/c au co wewe uliweka hii picha 👇👇View attachment 3193857
Huyo achana naye. Unajipoteza wakati, ndio maana Mimi nimeweka laugh reaction kwa point zake na nikamuacha. Hajui maana ya remittances.Why are you comparing investments to remmitances. Nani alikuambia wakenya walio abroad hawafanyi investments kwa nchi yao?