NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
90% ya Dar hukaa ushago.
So kusema wanajizimisha data!Wanajua sn sema wanapenda kujikweza ilihali uchumi wao hafifu.
What do you mean,NHC sio ya government? Yet it was established by Act of parliament and falls under the ministry of Lands…Are you sure? NHC ni government parastatal bro.Hio sio project ya government kabisa. NHC iko independent wanatafuta funds wenyewe wanajenga. Hata hivyo serikali ina oversee utendaji wao. Hii project ilisimama baada ya Magufuli kuisimamisha. Magufuli ni mjamaa sana alikuwa haelewi mambo ya kibepari. Sasa hivi inaendelea kwasababu mwenye kisu sasa hivi ana mlengo tofauti.
Shida yetu kubwa nayo ni kukosa dira kama Taifa. Kila Rais akija anakuja na mambo yake
Kama Dar yote itakua na lami kila barabara basi huo mtandao wa barabara utatoshana na size ya mtandao wa barabara kenya nzima
Debunked 😂😂You envy America so much … it’s eating you from inside…. You talk shit yet nobody brings up the USA more than you…. Your favorite words …. Ka US mwanangu ,Mara ka Alaska, Mara Ka Arizona, New York of Africa na zingine mingi … your profile pic is Obama …. Come on man…. Just get a visa and come … stop being a Tandale keyboard warrior..🤣..your bull crap has no end and is showing!…🤣😄
Indeed because it’s prioritized considering other sectors are fully functional, no problem in the health sector, education etc…typical African government but unlike most governments being criticized, y’all be praising the ruling elite 😵💫Usipate tabu the government is in the process of renewing its executive fleet including the addition of a Gulf stream G700 and a Boeing 737 BBJ of which budget has been allocated for 737 BBJ in this financial year. The Gul stream G700 has already been delivered in December 2024.
Sio government kabisa. Zingatia neno kabisa. Wanajitegemea mambo mengi. Ni tofauti na ujenzi wa reli au miradi ya Tanesco.What do you mean,NHC sio ya government? Yet it was established by Act of parliament and falls under the ministry of Lands…Are you sure? NHC ni government parastatal bro.View attachment 3193136
View attachment 3193144
Jamaa anatia huruma, sisi tunaweka picha za CBD yao ilivyo na roads hovyo yeye anatoa picha za nje ya jiji la dar aisee, hajui kama dar ni kubwa, anataka mpaka miji mipya iliyoanzishwa juzi yote iwe na lami kitu ambacho hakiwezani coz this is Africa mazee.
hawawezi kuwaonesh huu utumbo😂😂
eti ndio jiji linafananishwa na london
View attachment 3193155View attachment 3193156
Wanasema wana km 7000 za lami Nairobi pekee.hawawezi kuwaonesh huu utumbo😂😂
eti ndio jiji linafananishwa na london
View attachment 3193155View attachment 3193156
Huwa nakwambia ndani ndani huwa unaheshimu Kenya ndio maana standards zako za Kenya huwa juu ila za Vumbistan unaweka chini. Sasa useme hiyo barabara ya Yaya Center ni mbovu alafu hii hapa unasema ni nzuri? 😂 😂
Na ukumbuke video zote mbili zimefanywa na Bertin ambaye alikuja Kenya na lengo la kuonesha Kenya ilivyo mbovu hadi video zake alikuwa anatafutatafuta viaibu ilhali akiwa Tanzania anajaribu kutafuta angle zinazofanya mji ukae bora zaidi?
View: https://www.instagram.com/reel/C6TDqIZtfnr/?igsh=MXc4eWF0bTE4ZjRidA%3D%3D
Uninaikumbusha ile siku nilipost video ya Rosslyn ukaibeza ukaleta video ya Mbezi alafu hiyo mbezi imechakaa kinoma na barabara 90% hazina lami na unainsist ni nzuri yet Rosslyn iliyo na good landscaping na sidewalks na barabara zote lami unasema ni substandard. 😂😂
Huyo mwenye koti jeupe nilidhani mkusanya Stool and Urine sample maabara😂 kumbe anauza Lambalamba😂hawawezi kuwaonesh huu utumbo😂😂
eti ndio jiji linafananishwa na london
View attachment 3193155View attachment 3193156
Kumbe aliweka Expressway akatoa. 😂😂Kumbe sio mimi pekee, I watched that guy’s videos akiwa Kenya and I realized he was biased as hell.. in fact he uploaded a video ya expressway and I happened to be online so i clicked on it, then akai delete a few minutes later. The guy is doing a good job but when he starts talking you hear how biased he is
anakwambia kilimani barabara mbovu za kutafuta hata sisi tunaona hvo hii juzi tu😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1858212476866777201?s=46
View attachment 3192927View attachment 3192928View attachment 3192929View attachment 3192930View attachment 3192931View attachment 3192932View attachment 3192933View attachment 3192934
Dude the video stopped playing then i was like what’s up with my network, then i refreshed the tv, nikapata haiko. It was the last video he posted akiwa Nairobi, then Akaanza kupost za Daresaalam lol 😂Kumbe aliweka Expressway akatoa. 😂😂
Nilikuwa nashangaa, mtu aje Nairobi mara mbili na asiweke video ya expressway ama Thika Road. Alafu akachukua video ya UoN anasema eti Nairobi looks busier than Dar kisa Nairobi Kila kitu Kiko CBD while Dar utapata kitu Kila place uko. Nilishangaa juu Nairobi hakuna mtaa hauna mall, universities ni nyingi sii UoN pekee, gorofa ziko Kila mahali unlike Dar ukitoka hilo eneo la CBD and around hupati gorofa tena.
The fact that YouTuber anayefocus kwa infrastructure anaweza kuja Kenya alafu akachukua video za Downtown lakini asichukue expressway inaeleza Kila kitu. The problem Hawa majamaa wako mashindanoni na sisi but sisi hatuko idhaa yao.
Acha chuki zenu kwa vijana wa kitanzania.Kumbe aliweka Expressway akatoa. 😂😂
Nilikuwa nashangaa, mtu aje Nairobi mara mbili na asiweke video ya expressway ama Thika Road. Alafu akachukua video ya UoN anasema eti Nairobi looks busier than Dar kisa Nairobi Kila kitu Kiko CBD while Dar utapata kitu Kila place uko. Nilishangaa juu Nairobi hakuna mtaa hauna mall, universities ni nyingi sii UoN pekee, gorofa ziko Kila mahali unlike Dar ukitoka hilo eneo la CBD and around hupati gorofa tena.
The fact that YouTuber anayefocus kwa infrastructure anaweza kuja Kenya alafu akachukua video za Downtown lakini asichukue expressway inaeleza Kila kitu. The problem Hawa majamaa wako mashindanoni na sisi but sisi hatuko idhaa yao.
Just watch his videos akionyesha Dar. Mahali hakuna Barabara anafocus kwa manyumba, mahali Kuna Barabara anafocus kwa Barabara. Akiwa Kenya hata place Iko na Barabara poa ataenda jioni wakati garbage ishaaccumulate alafu camera itashinda kwa hiyo garbage with Bongolalas in the comments pretending to be shocked.Dude the video stopped playing then i was like what’s up with my network, then i refreshed the tv, nikapata haiko. It was the last video he posted akiwa Nairobi, then Akaanza kupost za Daresaalam lol 😂