NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Hapa wangelamba hadi lami 😀😀😀Huku kwetu ni kawaida mzigo kama huu kuanguka na hakuna mtu anajali, ila ingekuwa Kenya mpaka huyo askari angejibebea zake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3192844
Hapa wangelamba hadi lami 😀😀😀Huku kwetu ni kawaida mzigo kama huu kuanguka na hakuna mtu anajali, ila ingekuwa Kenya mpaka huyo askari angejibebea zake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3192844
Zipo ila zinasoma 60kph unaona bora ujilalie tuu kwenye premium class upoze machungu 🤣🤣🤣Hivi hizi app za speed meter huko Kunyaland hazipo nini? 😅😅
Peleka upumbavu ukiwa US citizen ndio nn nyoko wewe?You sound mentally handicapped…. I can be both Kenyan (motherland) and American ( my home)… do you even understand what it means to be an American?… trust me .. you don’t know jack shitt !..
watanzania munakumbuka ile likoni floating bridge ya mombasa mulikua munaoneshwa humu sasa imekufa rasmi 😂 Teargas nairobae Nicxie
View: https://x.com/rodgerskipembe/status/1875505159020904925?s=46
View: https://x.com/teikioko/status/1875515568784338959?s=46
View attachment 3192807
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapa wangelamba hadi lami 😀😀😀
Et tanzanians in kenya, hakuna mtu anayejitambua ataprefer kufanya kazi kenya sabab hakuna jipya Aache the land of opportunities.You don't prefer working in Tanzania, you just have no qualifications to work abroad. Mara ngapi mmeshikwa mkiuza madawa Afrika Kusini ama niite Teargas awaumbue? Otherwise mbona there are many Tanzanians living in Kenya than Kenyans living in Tanzania alafu kazi mnazofanya Kenya ni za upuzi upuzi na kuombaomba na kazi Wakenya wazofanya kwenu ni kazi respectable.
Sasa kama ndo kwa speed hii nishasemaga humu wakishazoea njia hawa watu cruising speed itakuwa 250km/hr. Hata zile treni za economy ni kwa sababu speed za vichwa ni limited ila wakiachiwa ipo siku watatoboa na 200SGR hiyo mtaalam ya saa 11
Haha inawezakana kweli hatuna qualification. Kuna watanzania wengi sana wako nje ila kawaida ya tanzanians hawapend kujishowoff kama nyinyi mtu akipata kazi ya kufagia tu ukoo mzima utajua. Kuhusu Madawa sehem ka South Africa hapo mwanzo ilikuwa rahisi watu kupata passport nyinyi wakenya, burundians mkatumia sana hiyo fursa kuchukua na kwa sabab South African wanakubali sana watanzania kuliko wa mtu wa taifa lolote Africa na kila mtu anayeongea wanassume ni mtz.You don't prefer working in Tanzania, you just have no qualifications to work abroad. Mara ngapi mmeshikwa mkiuza madawa Afrika Kusini ama niite Teargas awaumbue? Otherwise mbona there are many Tanzanians living in Kenya than Kenyans living in Tanzania alafu kazi mnazofanya Kenya ni za upuzi upuzi na kuombaomba na kazi Wakenya wazofanya kwenu ni kazi respectable.
Hii barabara si ukikojolea tu unaacha shimo?😁😁Apparently even the fewer roads they have in kunya are of very poor quality, yet they call it highway, wtf is this
View attachment 3191568
Kenyans don't show of either. It's the results that show off. 5 times more remittances. You don't need to show off when the results are speaking. Nyinyi endeleeni kuuza madawa ya kulevya.Haha inawezakana kweli hatuna qualification. Kuna watanzania wengi sana wako nje ila kawaida ya tanzanians hawapend kujishowoff kama nyinyi mtu akipata kazi ya kufagia tu ukoo mzima utajua. Kuhusu Madawa sehem ka South Africa hapo mwanzo ilikuwa rahisi watu kupata passport nyinyi wakenya, burundians mkatumia sana hiyo fursa kuchukua na kwa sabab South African wanakubali sana watanzania kuliko wa mtu wa taifa lolote Africa na kila mtu anayeongea wanassume ni mtz.
Pia kwenye ishu ya Madawa most individuals hawatumii passport za nchi zao kwa sababu ya tracking kuwa rahisi.
Na hata ukifuatilia ukamataji wa wauza Madawa kutoka tanzania kuanzia 2022 rate imepungua sana tena ni kama hakuna kabisa. Cases unaweza kuta ni mbili kwa mwaka au miezi .
What makes this road poor quality genius?Apparently even the fewer roads they have in kunya are of very poor quality, yet they call it highway, wtf is this
View attachment 3191568
Haha halafu magorofa mengi ya upperhill ni wasomali ndo wanajenga bila wao sijui itakuwajeyeye ndio mkandarasi so anajua ni majengo ya 6 floors 😂😂😂😂
Showoff zipo sana and mnajulikana kwa hilo. Kuhusu remittances watanzania wanaprefer kutuma materials badala ya pesa. Ntakupa mfano in mozambique the leading bus company with over 500 busses ( Nagi investment) ni ya mtu wa shinyanga Sulaiman. Watu badala ya kutuma pesa wanaprefer wafanye manunuzi ya vitu kama mitambo ambayo wanakuja tena kuuza tanzania double profit.Kenyans don't show of either. It's the results that show off. 5 times more remittances. You don't need to show off when the results are speaking. Nyinyi endeleeni kuuza madawa ya kulevya.
Ni watu ambao wanapanick sana na kukurupuka mwishowe ni aibu.Hawa ndugu hehehe, nakumbuka wakati tunafungua Kigamboni bridge walikuja sijui Mombasa gated Bridge, sijui likoni sijui DONGO Kundu kuwa zitakua biggest in Africa watu tukamaliza Tanzanite Bridge, Tunamalizia Kigogo Busisi Bridge ila wao wana "JIWE LA MSINGI" asee.