Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Uchafu na wabongo wapi na wapi mkuu.? 😅Wacha hata Mombasa. Kwetu Migori wamejaa wanafanya kazi za nyumba. We even had one at home a year ago. Wanaume wal nao wamejazana kule Macalder gold mines wakifanya kazi na mishahara duni huko. Wasukuma wako huko kama nzige. Alafu wachafu kinoma!