Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View: https://x.com/vickyojays/status/1875580845148557654?t=fEZiUdrq_aSvh3uS338XKw&s=19

View: https://x.com/254lyt/status/1875651271711191483?t=aBj__Ktdq8NSzgesgh3C2g&s=19

View: https://x.com/vickyojays/status/1875580845148557654?t=lb2Z7vqAZjOlVqWi0CHiGQ&s=19

Wakenya wenyew wakitembelea Dar es Salaam wanakubali barabara zetu.
Wengine wanalinganisha kilimani na sinza😂
Imagine sinza....
Wakina NairobiWalker wanasema nyuma ya blue tower hakuna tarmac roads.

Those are main roads, the Kilimani one is an access road. Main road ya Kilimani hii hapa, compare it with that main road of yours apples to apples ndio utajua ninachoongelea.

DURrgUHUMAA9HD5
 
instanbul hiyo sinza unayoongelea hii. Ukitoka kwa mainroad hiyo shekilango mnayoonyesha kwengine vumbi tupu. Huwa mnanifurahisha sana nyie watu na vi-estate mnavyojaribu kulinganisha na Kilimani. 😂 😂 😂

View attachment 3192843
Au sio mzee wa Google Map.
Wakenya wamefika Sinza na wanasema hio sehemu ina good roads kuliko kilimani. Wew uko Google Map. Bila kusahau Google map nyingi za Tz haziko updated kwa wakati.

This is igesa road sinza.

View: https://www.instagram.com/reel/C6TDqIZtfnr/?igsh=MXc4eWF0bTE4ZjRidA==
 
Pia mna proof Kenya iko na highest remittances in East Africa.
Pia mna proof Kenya iko na highest professionals working in Europe and America in East Africa.
Nyinyi gym trainer wenu akija Kenya ni vigelegele tu kila mahali.
Hivi hujiulizi kwanini most Tanzanians prefer working in tanzania hata baada ya kugraduate huko nje?
aliyeweka picha ya trainer ni mwenzako akiwa analinganisha housemaid wa middle east
 
Filter kibao.
Hapa ni Yaya centre...na hii ni main road kabisa inayoenda hadi kawangware slum huko.

View: https://www.instagram.com/reel/C5urU0qNpRU/?igsh=MWtsOWozcmJoZjFiNg==

Kwa hivo filterimeweka road markings, ikaweka lami, ikaweka hadi pedestrian walk?
Na hiyo barabara ya Yaya Center ni bora kuliko 90% ya barabara za mitaa ya kifahari hapo bongo kama Masaki.
Huwa nawaambia nyie Wabongo, the difference between Kenya na Tanzania ni expectations. Hapa Kenya we expect all roads to be paved so ukiona kibarabara kidogo kilichoharibika juu ya malori ya ujenzi utapata watu wamepiga picha wakiweka mtandaoni wakilalamika. Hapo kwenu mmezoea mazingira kama haya kwa hivo kero ndogo kama hizi hazimbabaishi bora mmeona picha ya Tanzanaiti briji na biiaratii mko sawa.

20221124_135741-jpg.2439637

View: https://www.youtube.com/watch?v=Q-QJqF6Hde0
 
Au sio mzee wa Google Map.
Google updates everywhere equally. The maximum time is 3 years. Usitubebe ufala.
Wakenya wamefika Sinza na wanasema hio sehemu ina good roads kuliko kilimani. Wew uko Google Map. Bila kusahau Google map nyingi za Tz haziko updated kwa wakati.
There is no man foolish enough to visit Kilimani and Sinza and even think there could be a comparison between the two in terms of infrastructure. Ni kama kulinganisha London na Dar. Hapo sinza nimekuonesha ukitoa Main Artery road (Sam Nujoma) barabara nzuri ni moja na hata sii nzuri kivile, it is just passable.
Kuna siku ulisema humu Wakenya hujiona kama Big Brother wa East Africa, huo ni ukweli. Ndio maana wakija huko waone hata kabarabara kamoja kazuri watakasifia maanake wanaona kama little brother ameamka otherwise kwa sector ya barabara za ndani mko chini sana.

Tofauti ni kwamba, hapo Sinza barabara nzuri ni za kutafuta, Kilimani barabara mbovu ni za kutafuta. Wabongo wanatafuta barabara nzuri Sinza wakipost, Wakenya wanatafuta barabara mbovu kilimani wakipost.
Secondly, there is nothing impressive about that road. It's just passable and that's it.
Nyuma ya hilo PPF building kunakaa hivi. Vumbi tupu. Ukiondoa hiyo Sam Nujoma Road (Main road) na Igesa road zingine ni vumbi tupu. Nionyeshe Kilimani barabara mbili zilizoshikana alafu zote vumbi nihame huu uzi.

Screenshot 2025-01-05 083529.png
 
Filter kibao.
Hapa ni Yaya centre...na hii ni main road kabisa inayoenda hadi kawangware slum huko.

View: https://www.instagram.com/reel/C5urU0qNpRU/?igsh=MWtsOWozcmJoZjFiNg==

Huwa nakwambia ndani ndani huwa unaheshimu Kenya ndio maana standards zako za Kenya huwa juu ila za Vumbistan unaweka chini. Sasa useme hiyo barabara ya Yaya Center ni mbovu alafu hii hapa unasema ni nzuri? 😂 😂
Na ukumbuke video zote mbili zimefanywa na Bertin ambaye alikuja Kenya na lengo la kuonesha Kenya ilivyo mbovu hadi video zake alikuwa anatafutatafuta viaibu ilhali akiwa Tanzania anajaribu kutafuta angle zinazofanya mji ukae bora zaidi?

View: https://www.instagram.com/reel/C6TDqIZtfnr/?igsh=MXc4eWF0bTE4ZjRidA%3D%3D

Uninaikumbusha ile siku nilipost video ya Rosslyn ukaibeza ukaleta video ya Mbezi alafu hiyo mbezi imechakaa kinoma na barabara 90% hazina lami na unainsist ni nzuri yet Rosslyn iliyo na good landscaping na sidewalks na barabara zote lami unasema ni substandard. 😂😂
 
Hivi hujiulizi kwanini most Tanzanians prefer working in tanzania hata baada ya kugraduate huko nje?
aliyeweka picha ya trainer ni mwenzako akiwa analinganisha housemaid wa middle east
You don't prefer working in Tanzania, you just have no qualifications to work abroad. Mara ngapi mmeshikwa mkiuza madawa Afrika Kusini ama niite Teargas awaumbue? Otherwise mbona there are many Tanzanians living in Kenya than Kenyans living in Tanzania alafu kazi mnazofanya Kenya ni za upuzi upuzi na kuombaomba na kazi Wakenya wazofanya kwenu ni kazi respectable.
 
Kwa hivo filterimeweka road markings, ikaweka lami, ikaweka hadi pedestrian walk?
Na hiyo barabara ya Yaya Center ni bora kuliko 90% ya barabara za mitaa ya kifahari hapo bongo kama Masaki.
Huwa nawaambia nyie Wabongo, the difference between Kenya na Tanzania ni expectations. Hapa Kenya we expect all roads to be paved so ukiona kibarabara kidogo kilichoharibika juu ya malori ya ujenzi utapata watu wamepiga picha wakiweka mtandaoni wakilalamika. Hapo kwenu mmezoea mazingira kama haya kwa hivo kero ndogo kama hizi hazimbabaishi bora mmeona picha ya Tanzanaiti briji na biiaratii mko sawa.

20221124_135741-jpg.2439637

View: https://www.youtube.com/watch?v=Q-QJqF6Hde0

Usipanic...tulia twende mdogo mdogo. Relax...
Nyinyi kenya mnalipua lipua...ukiongeza na corruption ndo kabisa mnatengeneza vitu low quality.
Mnakimbia mnaenda wap? Wew unasingizia construction...kwa nini barabara ziharibiwe na maroli?

Tanzania haibahatishi, tunatulia, tunaplan na kujenga vitu kwa standards.
Hii ni barabara moja huko Masaki...can you show me a road like this anywhere in kenya. Au utasema na hii ni main road...😂😂
Siku mitaa ya kenya ikiwa na barabara kama hii ndo tutawasifia hapa...lakin vinginevyo barabara zenu hata Burundi wanazo nzr tu...hii barabara itaharibiwaje na maroli?

View: https://www.instagram.com/reel/CyNZHFEoeH9/?igsh=YnY0ZW1yMnY3dW9j
 
Back
Top Bottom