ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hapa hatuongelei wivu tynaongelea mikopo ya asilimia 208 ππππ unataka kunambia znz hawakusanyi kodi?? na sasa nimeskia kila mtalii anakuja znz analipia dola 40 ya bima
miradi mingi ilioanza kipindi cha kikwete ilikua na ufisadi wa kutisha hata ule dege eco kigamboni ufisadi unatisha πππNaelewa undani wake kuliko unavyofikiria.
Bongolalas remind me of when Koreans protested against Japan using Sanyo loudspeakersβ¦ π€£π€£This is gold. You perfectly exposed and destroyed this guy man. It's starting to make sense now. Kwanza hapo kwa profile pic. Kumbuka huyo Obama is also half Kenyan so you can also guess why he hates Kenya so much.πππ
Hata Bukoba Airport. Waliiba pesa za kutoshamiradi mingi ilioanza kipindi cha kikwete ilikua na ufisadi wa kutisha hata ule dege eco kigamboni ufisadi unatisha πππ
even JNIA terminal 3 kulikua na upigaji wa kutisha sana
Usipate tabu the government is in the process of renewing its executive fleet including the addition of a Gulf stream G700 and a Boeing 737 BBJ of which budget has been allocated for 737 BBJ in this financial year. The Gul stream G700 has already been delivered in December 2024.You guys are celebrating
In fact most comments say they shouldβve gotten a bigger one
Na nikiwaambia we are not the same hamskii
View attachment 3192097
Mwinyi kafafanua so hutaki nini labda? Uliuliza miradi unaletewa hutaki Sasa wewe unataka kitu gani? π¬π¬hapa hatuongelei wivu tynaongelea mikopo ya asilimia 208 ππππ unataka kunambia znz hawakusanyi kodi?? na sasa nimeskia kila mtalii anakuja znz analipia dola 40 ya bima
Magu alisimamisha miradi mingi sana ya majengo wakati ambapo real estate sector ilikuwa inakua kwa kasi sana. Alivunja bodi ya NHC akakaa almost 4 good years kabla hajateua bodi nyingine hivyo kuzorotesha shughuli na miradi mingi ya NHC. Pia akatoa maelekezo kwa taasisi za uma kuacha kuwekeza kwenye majengo bali wapeleke hela kwenye viwanda. Miradi mingi ilikufa mfano mradi wa Mara Capital pale namanga ilikuwa ijengwe business centre kubwa sana.Hio sio project ya government kabisa. NHC iko independent wanatafuta funds wenyewe wanajenga. Hata hivyo serikali ina oversee utendaji wao. Hii project ilisimama baada ya Magufuli kuisimamisha. Magufuli ni mjamaa sana alikuwa haelewi mambo ya kibepari. Sasa hivi inaendelea kwasababu mwenye kisu sasa hivi ana mlengo tofauti.
Shida yetu kubwa nayo ni kukosa dira kama Taifa. Kila Rais akija anakuja na mambo yake
mwarabu tena kesho ndio mutajua kwann refa aliongeza dakika ili mupate goli ππHongereni watani mmetuheshimisha leo kama watz π
Kesho kaeni mkao wa kula supu ya ngamia toka Tunisia.
mkopo wa asilimia 208% alooo tuendelee kusifia tu ππππ na tuendelee kuwacheka wakenya kwa kweliMwinyi kafafanua so hutaki nini labda? Uliuliza miradi unaletewa hutaki Sasa wewe unataka kitu gani? π¬π¬
Wivu
Angalau tumejitahidi mkuu, Rais wa sasa anatimiza ya mtangulizi wake, tofauti na wenzetu kila Rais anayekuja anaanza na yake, yn jamaa hawatokuja kuendelea kamwe.Hio sio project ya government kabisa. NHC iko independent wanatafuta funds wenyewe wanajenga. Hata hivyo serikali ina oversee utendaji wao. Hii project ilisimama baada ya Magufuli kuisimamisha. Magufuli ni mjamaa sana alikuwa haelewi mambo ya kibepari. Sasa hivi inaendelea kwasababu mwenye kisu sasa hivi ana mlengo tofauti.
Shida yetu kubwa nayo ni kukosa dira kama Taifa. Kila Rais akija anakuja na mambo yake
Haya anayoendeleza hana namna. Project zilikuwa katikati huwezi kukatisha. Vinginevyo angefanya yake. Angeuza badala ya kujenga.Angalau tumejitahidi mkuu, Rais wa sasa anatimiza ya mtangulizi wake, tofauti na wenzetu kila Rais anayekuja anaanza na yake, yn jamaa hawatokuja kuendelea kamwe.
Mkenya akienda Dubai ama Europe kufanya kazi mnamuita kijakazi, Mtanzania akija Kenya kazi mnajisifu amekuja kuchukua pesa. Hii inaonyesha vile economy yetu iko juu ya yenu.asante joho kwa kumuamini mtanzania mwenzetu kua trainer wako ππ
danzel chukua pesa kwa wakenya π
View attachment 3191932
View attachment 3191933
So, you are now American man and not a black kunyan monkey ππππππππYou envy America so much β¦ itβs eating you from insideβ¦. You talk shit yet nobody brings up the USA more than youβ¦. Your favorite words β¦. Ka US mwanangu ,Mara ka Alaska, Mara Ka Arizona, New York of Africa na zingine mingi β¦ your profile pic is Obama β¦. Come on manβ¦. Just get a visa and come β¦ stop being a Tandale keyboard warrior..π€£..your bull crap has no end and is showing!β¦π€£π