Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nawaona kina Teargas nairobae Nicxie mwathadan etc wamekaa katikati ya barabara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

huyo wambele kabisa ndio huyo zwazwa wao humu ndani πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»
IMG_2606.jpeg
 
Ni watu ambao wanapanick sana na kukurupuka mwishowe ni aibu.
Wanaiogopa Tanzania kama ukoma.
Watatoa takwimu fake, kuandika uongo mitandaoni, kutuma spies Tanzania nk...ili tu Tanzania isiovertake kenya kwa GDP.

Kenyans have to Know GDP ya Tz ni kubwa kuliko mnavyozani...ni basi tu Tanzania sio pro west au rafiki kipenzi wa West...ila IMF na world bank wangeisha iname Tz kuwa na GDP ya $150 huko.

Juzi nimeangalia video ya treni ya SGR...kuna mzungu akakoment kuwa how can $85b economy have such infrastracture!

Tazama comments kwenye hii video. Wengi wanashangaa Tz inawezaje

View: https://youtu.be/NqckW-24Lco?si=YWFXcF3VdomzOBZX

Tumewaambia sana hawasikii, kwani huoni nchi ya GDP kubwa mradi mmoja mkubwa wa ngijangija baada ya hapo hawapumui na deni, ila check miradi ya matrilion bongo mikubwa kuliko ngija ngija mingine full funded na government like JNHPP na bado tunapumua.

Ni kuwa licha ya GDP kubwa ukitoa madeni kwenye GDP surplus unayopata hamna kitu huyo mwenye $80 billion GDP surplus yake ni kubwa.
 
Showoff zipo sana and mnajulikana kwa hilo. Kuhusu remittances watanzania wanaprefer kutuma materials badala ya pesa. Ntakupa mfano in mozambique the leading bus company with over 500 busses ( Nagi investment) ni ya mtu wa shinyanga Sulaiman. Watu badala ya kutuma pesa wanaprefer wafanye manunuzi ya vitu kama mitambo ambayo wanakuja tena kuuza tanzania double profit.
Mfano mwingine ilikuwa maning nice badala ya kutuma pesa akawa ananunua direct magari China na kuyaingiza tanzania badala ya kutuma pesa ambayo in return bado angehitajika alipie 30% ya income tax.
Tukibaki na mfano tu wa mozambique 60% ya flour processing units in nampula and pemba are owned by Tanzanian and huwez kuta wanatuma pesa but the prefer making direct payment letsay kwa wakandarasi kwa majengo wanayokuwa wanajenga tanzania badala ya pesa ila kwa sababu wakenya hamna elimu ya ujasiliamali mnaona sifa kutuma pesa . Watanzania hawatumi pesa na zinazotumwa ni zile ndogo za kununulia mboga
You need to get your head checked.
 
You need to get your head checked.
Haha kabla hawajanicheck mimi unatakiwa ukatibiwe uchizi kwanza. Remittances ni utumaji wa pesa kutoka akaunti moja kwenda nyingine mara nyingi kutoka nchi nyingine. Sasa yupi mwenye akili yule anayetuma pesa halafu aje akatwe 30 % income tax plus bank charges au yule atayenunua letsay used range rover na kuzisafirisha na Kuja kuziuza tanzania akabaki na faida juu.
 
You need to get your head checked.
  • A remittance is money sent to another party, usually in another country.
  • Typically, the sender is a foreign worker and the recipient is a relative in the recipient's home country.
  • Remittances represent one of the largest sources of income for people in low-income and developing nations.
  • Remittance amounts often exceed the amount of direct investment and international development assistance that a country receives.
  • Intelligence agencies view remittances as a potential source of funding for terrorism
1736071122796.png
1736071122796.png

Hapo huwezi kuta nchi zenye ambazo raia wake wanauwezo mkubwa kama kuwait, france , UK pamoja na kuwa hizo nhi zimekeza sana nje ya mipaka yao.

1736071335029.png

kenya ni miongoni mwa nchi ambazo zina migrant workers na wakimbizi wengi huko mataifani na hii inatokana nchi yenu kuwa na maisha magumu yaani hamna utofauti na somalia, iraq kwenye vita
 
NairobiWalker njo tuijadili hii picha.
Hapa ni Around Afya Centre Nairobi City Centre au CBD.

Tuachane na barabara za vumbi ambazo zipo kibao in Nairobi City Centre. Tujadili hivyo vihiace vifupi ( nissan) vinaelekea hadi migori au kisumu more than 350km.

Tatizo lenu mnaongea sana.
View attachment 3192992
Ila mkuu unawavua chupi mafukara mpaka sio poa, yn unacheza na CBD na kilimani tu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ni watu ambao wanapanick sana na kukurupuka mwishowe ni aibu.
Wanaiogopa Tanzania kama ukoma.
Watatoa takwimu fake, kuandika uongo mitandaoni, kutuma spies Tanzania nk...ili tu Tanzania isiovertake kenya kwa GDP.

Kenyans have to Know GDP ya Tz ni kubwa kuliko mnavyozani...ni basi tu Tanzania sio pro west au rafiki kipenzi wa West...ila IMF na world bank wangeisha iname Tz kuwa na GDP ya $150 huko.

Juzi nimeangalia video ya treni ya SGR...kuna mzungu akakoment kuwa how can $85b economy have such infrastracture!

Tazama comments kwenye hii video. Wengi wanashangaa Tz inawezaje

View: https://youtu.be/NqckW-24Lco?si=YWFXcF3VdomzOBZX

Mm tangu 2017 nilikuwa nawaambia GDP ya kweli ya Tz ni over $150B ila sgr ikianza kufanya kazi hasa cargo na after jnhpp soon tutagonga $200B wakabisha, now wanajionea wenyewe.
 
Ila mkuu unawavua chupi mafukara mpaka sio poa, yn unacheza na CBD na kilimani tu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Subiri nielekee Westlands. Nyuma ya yale Majengo ya GTC.

Nairobi kwa ground ni mbovu kinoma. Nadhani kwa East Africa ndo mji wenye poorest Horizontal infrastracture.

Hapo kuna jogoo road ile inayotekea nyuma ya Pipeline ni aibu ya Dunia
Na naambiwa ni highway.
Huyu Governor wao anaconferm na hana hela. Tunaambiwa Nairobi GDP ni $60b more than the whole country of Uganda.
1736075469154.jpg
 
NairobiWalker njo tuijadili hii picha.
Hapa ni Around Afya Centre Nairobi City Centre au CBD.

Tuachane na barabara za vumbi ambazo zipo kibao in Nairobi City Centre. Tujadili hivyo vihiace vifupi ( nissan) vinaelekea hadi migori au kisumu more than 350km.

Tatizo lenu mnaongea sana.
View attachment 3192992
Yaani wanatumia vipanya kusafiri umbali karibu na Dar-Tanga?
 
Hawa ndugu hehehe, nakumbuka wakati tunafungua Kigamboni bridge walikuja sijui Mombasa gated Bridge, sijui likoni sijui DONGO Kundu kuwa zitakua biggest in Africa watu tukamaliza Tanzanite Bridge, Tunamalizia Kigogo Busisi Bridge ila wao wana "JIWE LA MSINGI" asee.
Umesahau wakaja na train ya escape from sobibo sisi tukamaliza na standard gauge railway ya umeme,but still wanachongoa mdomo kumbavu
 
NairobiWalker njo tuijadili hii picha.
Hapa ni Around Afya Centre Nairobi City Centre au CBD.

Tuachane na barabara za vumbi ambazo zipo kibao in Nairobi City Centre. Tujadili hivyo vihiace vifupi ( nissan) vinaelekea hadi migori au kisumu more than 350km.

Tatizo lenu mnaongea sana.
View attachment 3192992
Kunyan wa hapa jf hawaijui nchi yao,otherwise wasingekua na mdomo humu
 
Back
Top Bottom