Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That was not the question…stop dodging !..and America 🇺🇸 is a huge country, so stick to the state of Arizona ( which still confuses me why a whole state is comparable to a poor city like Dodoma…)… lots of ignorance there…just pick a city in the copper state ( AZ)… Phoenix, Tucson , Glendale , Chandler etc … then let’s compare a city with your Dodoma….. and before you rant , Copper state is another name for Arizona 😄
Why don’t we pick Nairobi instead?
 
Acha upumbavu wewe. Picha ya kwanza ni Dodoma station ila huo ni upande wa nyuma, mbele kuna lami ambayo ni barabara kubwa kabisa.
Picha ya pili ni Station ya Morogoro nimetolea ufafanuzi kwenye post yangu juu hapo. Acha ujuaji usio na msingi.

Hio barabara ya vumbi nyuma ya station ndio imetumika na wakandarasi imeanzia Dar mpaka reli itkapoishia kujengwa Mwanza. Kuna hadi watu walipendekeza iwekkwe lami iwe barabara kamili. Kuna mtu alisema ni servuce road lakini kama kawaida yako ukamletea ujuaji. Ni barabra ya wakandarasi ndio service road.
Still ni mazingira ya ovyo. Mpuzi mwenzako kasema ni first world environment eti inakaa Alaska. Kuna first world ipi Railway Station itajengwa alafu iachwe hivo?
 
Acha upumbavu wewe. Picha ya kwanza ni Dodoma station ila huo ni upande wa nyuma, mbele kuna lami ambayo ni barabara kubwa kabisa.
Picha ya pili ni Station ya Morogoro nimetolea ufafanuzi kwenye post yangu juu hapo. Acha ujuaji usio na msingi.

Hio barabara ya vumbi nyuma ya station ndio imetumika na wakandarasi imeanzia Dar mpaka reli itkapoishia kujengwa Mwanza. Kuna hadi watu walipendekeza iwekkwe lami iwe barabara kamili. Kuna mtu alisema ni servuce road lakini kama kawaida yako ukamletea ujuaji. Ni barabra ya wakandarasi ndio service road.
Mwehu sana, na anakuletea gari za service za reli iliyokwisha jengwa, why asizipeleke hizo gari zipanue pori la kutafuta malaba
 
Bro, a rail does not need a road running alongside the line for service purpose or access. Unlike roads which can be accessible from any point, railway lines are only accessible at the stations and that's the reason many railway lines are even fenced. That's also the reason you'll find linear settlement along a road but never along the rail. What you're talking about is hogwash. That's a road used by people coming to the station and it's unpaved. I have even shown you a photo with vehicles on the road.
Kwahiyo wakati wanajenga hivyo vifaa letsay kokoto na the like vilipaaa angani?
 
Mwehu sana, na anakuletea gari za service za reli iliyokwisha jengwa, why asizipeleke hizo gari zipanue pori la kutafuta malaba
Bro, do you understand the meaning of the word service? 😂 😂
Service is done on something that's already complete and in use. You service your car because it's already built and in use. Which education do you people have down there.😂😂😂
 
Sikia punguza ujuaji sana, mbona unafafanuliwa unaleta ubishi? Barabara ya nyuma ni ya mkandarasi hapo station ya Dodoma, elewa ya mkandarasi means alikua anaitumia kupitisha vifaa vyote hitajika na ujenzi shida yako nini? alafu elewa hiyo phase still inaendelea construction.

View: https://youtu.be/5Yav-EWn4zg?si=FhsPMMmIA_N-_Aue

Ujuaji mwingi
 
Mtu ameandika upumbavu alafu unampapasa mgongo eti mimi ni mjuaji? Wapi ushawai ona service road kwa railway? Mnakuwanga wajinga hadi inauma.
Wewe ni mpumbavu. Hio barabara inatumiwa na wakandarasi wakati wanajenga reli. Wanapita humo na trucks zao kupeleka materials mbona unakuwa punguani kiasi hiki? Hii reli kuanzia Dar hadi Dodoma hadi leo bado kuna kazi zinaendelea. Ukisafiri na treni unaona hizo trucks zinapita sambamba na reli zimebeba material. Acha ujuaji usiokuwa na msingi.
 
Bro, do you understand the meaning of the word service? 😂 😂
Service is done on something that's already complete and in use. You service your car because it's already built and in use. Which education do you people have down there.😂😂😂
hiyo sio srvice road ni barabara iliyotumika na mkandarai kuleta material site kama kokoto na mchanga na hakuruhusiwi kujenga kitu chochote kwa ababu ipo nani ya beacon za trc.. iko hivyo kwa karibia njia yote ya dar mpaka mwanza
 
Wewe ni mpumbavu. Hio barabara inatumiwa na wakandarasi wakati wanajenga reli. Wanapita humo na trucks zao kupeleka materials mbona unakuwa punguani kiasi hiki? Hii reli kuanzia Dar hadi Dodoma hadi leo bado kuna kazi zinaendelea. Ukisafiri na treni unaona hizo trucks zinapita sambamba na reli zimebeba material. Acha ujuaji usiokuwa na msingi.
hamna anachojua
 
Sikia punguza ujuaji sana, mbona unafafanuliwa unaleta ubishi? Barabara ya nyuma ni ya mkandarasi hapo station ya Dodoma, elewa ya mkandarasi means alikua anaitumia kupitisha vifaa vyote hitajika na ujenzi shida yako nini? alafu elewa hiyo phase still inaendelea construction.

View: https://youtu.be/5Yav-EWn4zg?si=FhsPMMmIA_N-_Aue

Ujuaji mwingi

Tunaongelea service road. Mwenzako amesema hiyo ni service road. Jibu swali, unajua service road maanake? Wewe usiye mjuaji basi utasema railway line huwa na service road?
 
Back
Top Bottom