mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,149
- 6,574
When last time were you in Arizona?…. Actually let me put it simply…. Have you ever left Tandale?…🤣🤣Arizona fala wewe.
When last time were you in Arizona?…. Actually let me put it simply…. Have you ever left Tandale?…🤣🤣Arizona fala wewe.
So you think you are the first African to ever set foot in America?When last time were you in Arizona?…. Actually let me put it simply…. Have you ever left Tandale?…🤣🤣
That was not the question…stop dodging !..and America 🇺🇸 is a huge country, so stick to the state of Arizona ( which still confuses me why a whole state is comparable to a poor city like Dodoma…)… lots of ignorance there…just pick a city in the copper state ( AZ)… Phoenix, Tucson , Glendale , Chandler etc … then let’s compare a city with your Dodoma….. and before you rant , Copper state is another name for Arizona 😄So you think you are the first African to ever set foot in America?
You are laughable😎That was not the question…stop dodging !..and America 🇺🇸 is a huge country, so stick to the state of Arizona ( which still confuses me why a whole state is comparable to a poor city like Dodoma…)… lots of ignorance there…just pick a city in the copper state ( AZ)… Phoenix, Tucson , Glendale , Chandler etc … then let’s compare a city with your Dodoma..
You lost !… now you are back to your usual throw of Bongo tantrum …🤣🤣🤣You are laughable😎
You are laughable😎You lost !… now you are back to your usual throw of Bongo tantrum …🤣🤣🤣
mpuuzi wewe kuna dem alikua analalamika anasema nairobi termal iko mbali over 16km na mjini na inaongeza cost juu yake wakat SGR terminal zote za tanzania ziko ndani ya miji kabisa😂😂😂😂1 hour pengine utembee kwa miguu, lakini ukitumia gari basi haipiti dakika 15. Kubali mmepigwa 😂😂
kwasababu ya ujinga wenu alaf mukiambiwa mulete data hapa munaenda jikoni kupika mpaka munaunguza 😂😂😂😂😂😂People losing jobs makes you have an orgasm, what a sad creature
We ni mchawi, wachawi tu ndo wanafurahidhwa na vitu kama hizikwasababu ya ujinga wenu alaf mukiambiwa mulete data hapa munaenda jikoni kupika mpaka munaunguza 😂😂😂😂😂😂
Tofauti huku wanatekwa halafu citizens speak up na wanaachiliwa. Huko kwenu hata hamjui kinachooendelea. Wanaweza tekwa maelfu na hata hamtojua. Ukijaribu kuongelea pia wee unatekwa. Na ukitekwa probability ya kupatikana ni zero. 😂 😂
Barabara gani ya vumbi ina km 10 kwenda kwenye station ya SGR Dodoma ni ipi hiyo! 😂😂😂Kwani wewe hujui Kama Dom bado inajengwa? Mara ngapi tume share picha za Dom humu na mkakosa mpaka amani, zipo picha za Dom zina vibe la Alaska kabisa na mnaijua vzr, ulitaka kila Kona kuwe na lami wakati mji wenu mkuu hauna lami ndani ya CBD, wacha wivu.
Kwa hivo ikiwa ya Morogoro ni sawa ama unajaribu kusema Nini?🤣Barabara gani ya vumbi ina km 10 kwenda kwenye station ya SGR Dodoma ni ipi hiyo! 😂😂😂
Station ya Dodoma si ipo barabarani/ Iringa road au!
Huyo balozi kamaanisha station ya Morogoro.
UnahahaKwa hivo ikiwa ya Morogoro ni sawa ama unajaribu kusema Nini?🤣
Unavyo potosha kwa kusema ni Dodoma ni sawa?Kwa hivo ikiwa ya Morogoro ni sawa ama unajaribu kusema Nini?🤣
Eti dunia ya kisasa. 🤣🤣🤣Hapo Dodoma akitoka kwenye station mazingira ndio haya. Usidhani hatuijui Dodoma.
View attachment 3190701
View attachment 3190703
View: https://x.com/JapanAmb_TZ/status/1824813226783109320?t=d-GG9fQonDGG5atSr5wENg&s=19
Kwani ni uongo? 😂 😂Ndio unajifariji?
Sikia Dodoma station ipo karibu na Lami, fanya research zako vizuri Iringa Road.Kwani ni uongo? 😂 😂
Acha Kuhangaika na Zezeta NduguSikia Dodoma station ipo karibu na Lami, fanya research zako vizuri Iringa Road.
Kwa hiyo umechukua Morogoro kuipeleka kufanya upotoshaji sio?
Na hiyo morogoro inafanyiwa kazi. Ni mara ngapi mnaambiwa still mnakomaa eti ni Dodoma.