Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Reli kungóka is not an everyday thing. You do not need a road running along the rail to fix that. Think.
It is needed.
Pia wachana na reli kung'oka kuna treni kupinduka hususan treni za mizigo,kama hauna barabara ya kando ya kupitisha heavy machinery ya kuiinua utataabika sana.
 
Apparently even the fewer roads they have in kunya are of very poor quality, yet they call it highway, wtf is this
74D45957-4FF2-43DB-B4AB-E482019655E2.png
 
Angalau ingeuzwa ingeweza ku make sense, ila 22 yrs for a private plane sio mbaya sana , bado G550s zinatumika , na hapo sio ndege kubwa bado , Boeing 737-7 Business jet ingemake sense kama wanataka ku replace G550s , cause inaweza kubeba walau watu wengi
22 yrs ni ndogo sana sana bro atleast ungeniambia 30+ yrs kidogo ningekuelewa ila kwa sasa bado nchi inahitaj mambo mengi ya msingi kuliko ndege ya rais, tuelezane ukweli kwenye hili
 
upotoshaji gani wakat kila kitu kiko bayana mikopo inachukuliwa haieleweki inatumika ovyo ovyo tu hakuna uwajibikaji alaf tunawacheka wakenya

juzi nimeskia mkuranga zimekamatwa mali za mabilioni za TRC tanesco na dawasco yani mpaka unajiuliza waziri mwenye dhamana ofisini anafanya kazi gani , nani awajibike na nani anatakiwa kuwajibisha

View: https://x.com/eastafricatv/status/1874818233066213834?s=46

View: https://x.com/nipashetz/status/1874813366897885445?s=46

View: https://x.com/mshambuliaji/status/1874909804352688566?s=46
 
Why why watanzania siku hizi hawaipendi hata hii nchi yaani uzalendo hamna imagine unaiba kabisa hizo zote mwisho unasikia TANESCO wanaoga lawama, TRC wanaoga lawama tunachafuliwa reputation ya Mradi kisa wajinga wachache.

Wataifishe hicho kiwanda fasta.

Ifike muda tuanzishe utataribu wa kuwalipa fadhila wajinga wote wanaohujumu hii nchi.

Inasikitisha sana.
 
Ok o
Why don’t we pick Nairobi instead?
i like your dim-witted jiving …..must be a mental slow day in Tandale … do you realize it’s your own kind that picked a whole first world state of Arizona and put it into comparison to your dusty town of Dodoma?….. address that first…
 
upotoshaji gani wakat kila kitu kiko bayana mikopo inachukuliwa haieleweki inatumika ovyo ovyo tu hakuna uwajibikaji alaf tunawacheka wakenya

juzi nimeskia mkuranga zimekamatwa mali za mabilioni za TRC tanesco na dawasco yani mpaka unajiuliza waziri mwenye dhamana ofisini anafanya kazi gani , nani awajibike na nani anatakiwa kuwajibisha

View: https://x.com/eastafricatv/status/1874818233066213834?s=46

View: https://x.com/nipashetz/status/1874813366897885445?s=46

View: https://x.com/mshambuliaji/status/1874909804352688566?s=46

Kwa nini huipongezi Serikali Kwa Kukamata wahujumu uchumi?

Wacha upotoshaji,miradi kama huioni tukusaidiaje Sasa 😆😆👇👇

View: https://x.com/Hakingowi/status/1875245113573830914?t=T7QFa4zg4GW0aoREXPek7w&s=19
 
Still ni mazingira ya ovyo. Mpuzi mwenzako kasema ni first world environment eti inakaa Alaska. Kuna first world ipi Railway Station itajengwa alafu iachwe hivo?
We msenge kinachokuumiza ni maendeleo ambayo Dodoma imepiga mpaka leo, kwnn unafosi vitu havipo? Unaweka mpaka picha ya nyuma ya jengo na fence unaiona lkn unalazimisha eti ni barabara, endelea kuumia lkn haizuii Dom kuzidi ku develop.
 
Station ya Morogoro wanajenga bypass ambayo hadi malori na mabasi yatatumia ili yasiingie Morogoro mjini. Hio ndio barabara ya kuingia station, hii inayotumika sasa ni diversion tu wakati wanajenga hio bypass.
Umetumia nguvu nyingi kumjibu kichaa,hivi kwa akili pesa iliyotumika kujenga ile station,serikali ndio ishindwe kujenga barabara ya km 10!
 
Back
Top Bottom