Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alaf ile iliokuwepo inafanyiwa nn kwa sasa? fokker ya rais wa kenya ina zaidi ya miaka 35 huko yetu hata 22 yrs haijafikisha aisee, bado tuna mambo mengi sana yakufanya kwa sasa hio pesa ni bora zejengwe hospitali hata 2 za kimataifa mkoa wa tanga na kigoma huko tufanye medical tourism
Wakujengee hizo hospitali mbili halafu kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu waje na ahadi gani?
Mimi naona ni sawa wamenunua ili waache kutumia ndege za ATCL.
 
alaf ile iliokuwepo inafanyiwa nn kwa sasa? fokker ya rais wa kenya ina zaidi ya miaka 35 huko yetu hata 22 yrs haijafikisha aisee, bado tuna mambo mengi sana yakufanya kwa sasa hio pesa ni bora zejengwe hospitali hata 4 za kimataifa mkoa wa tanga, kigoma, bukoba huko tufanye medical tourism
Ile fokker ishajichokea anaitumia waziri mkuu mara nyngi
 
Remittance haitumiwi kwa accounts za serikali, kweli watanzania ni wajinga bwana😂😂
Haya nikusaidie nyie wehu chambueni hizo Remittance zikitumwa zinafanywaje mlivyo watupu baada ya kuingia kwa wahusika hawazizungushi Katika mzunguko kawaida?. Si huwa zinakuja kuingia wenye mzunguko wa kawaida taifa linapata kodi Sasa hio kodi ndio kiongozi wenu anaiba wapuuzi nyie.
Remittance haitumiwi kwa accounts za serikali, kweli watanzania ni wajinga bwana😂😂
 
Kwahiyo hiyo bird's eye view ya Dom Station hujaona mpaka unaleta vipicha vyako vya upande upande?
Birds view ndio itaweka lami kwa hii Barabara ya vumbi ama?
1000525095-jpg.3190701
 
Acha kujikuta unaijua Tanzania fwala wewe, First pic ni Dodoma, na hiyo barabara ni barabara aliyotumia mkandarasi wakati wa ujenzi (Iko nyuma ya station), sio barabara rasmi, hilo eneo lote lina fence ya TRC.
Second Pic ni kutoka Morogoro station (kwa nyuma) na hiyo barabara iko nje kabisa ya station ya Morogoro na iko under construction maana mkandarasi hajamaliza kazi.
Kwa hivo huyu Mjapan ni mjinga?


View: https://twitter.com/JapanAmb_TZ/status/1824813226783109320
 
Barabara gani ya vumbi ina km 10 kwenda kwenye station ya SGR Dodoma ni ipi hiyo! 😂😂😂
Station ya Dodoma si ipo barabarani/ Iringa road au!
Huyo balozi kamaanisha station ya Morogoro.
Station ya Morogoro wanajenga bypass ambayo hadi malori na mabasi yatatumia ili yasiingie Morogoro mjini. Hio ndio barabara ya kuingia station, hii inayotumika sasa ni diversion tu wakati wanajenga hio bypass.
 
What on earth is service road ya reli bradhee?
Railways are serviced by vehicles that move on the rail, not beside the rail.
Service roads also known as a frontage road or access road run parallel to railways, similar to how they function alongside highways. These roads provide access to railway facilities, maintenance areas, and properties adjacent to the rail line.
 
Bradhee, hivi hizi picha ni za Morogoro?
1000525074-jpg.3190703


1000525095-jpg.3190701
Acha upumbavu wewe. Picha ya kwanza ni Dodoma station ila huo ni upande wa nyuma, mbele kuna lami ambayo ni barabara kubwa kabisa.
Picha ya pili ni Station ya Morogoro nimetolea ufafanuzi kwenye post yangu juu hapo. Acha ujuaji usio na msingi.

Hio barabara ya vumbi nyuma ya station ndio imetumika na wakandarasi imeanzia Dar mpaka reli itkapoishia kujengwa Mwanza. Kuna hadi watu walipendekeza iwekkwe lami iwe barabara kamili. Kuna mtu alisema ni servuce road lakini kama kawaida yako ukamletea ujuaji. Ni barabra ya wakandarasi ndio service road.
 
Service roads also known as a frontage road or access road run parallel to railways, similar to how they function alongside highways. These roads provide access to railway facilities, maintenance areas, and properties adjacent to the rail line.
Bro, a rail does not need a road running alongside the line for service purpose or access. Unlike roads which can be accessible from any point, railway lines are only accessible at the stations and that's the reason many railway lines are even fenced. That's also the reason you'll find linear settlement along a road but never along the rail. What you're talking about is hogwash. That's a road used by people coming to the station and it's unpaved. I have even shown you a photo with vehicles on the road.
 
Back
Top Bottom