Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alaf ile iliokuwepo inafanyiwa nn kwa sasa? fokker ya rais wa kenya ina zaidi ya miaka 35 huko yetu hata 22 yrs haijafikisha aisee, bado tuna mambo mengi sana yakufanya kwa sasa hio pesa ni bora zejengwe hospitali hata 4 za kimataifa mkoa wa tanga, kigoma, bukoba huko tufanye medical tourism
Angalau ingeuzwa ingeweza ku make sense, ila 22 yrs for a private plane sio mbaya sana , bado G550s zinatumika , na hapo sio ndege kubwa bado , Boeing 737-7 Business jet ingemake sense kama wanataka ku replace G550s , cause inaweza kubeba walau watu wengi
 
Birds view ndio itaweka lami kwa hii Barabara ya vumbi ama?
1000525095-jpg.3190701
Hiyo ni barabara ya mkandarasi wakati anajenga reli infact ni reserve ya reli. Station inaangalia barabara ya lami A104 Iringa Road kama hutaki basi usilete arguments za kitoto.
 
Bro, a rail does not need a road running alongside the line for service purpose or access. Unlike roads which can be accessible from any point, railway lines are only accessible at the stations and that's the reason many railway lines are even fenced. That's also the reason you'll find linear settlement along a road but never along the rail. What you're talking about is hogwash. That's a road used by people coming to the station and it's unpaved. I have even shown you a photo with vehicles on the road.
So if reli imengoka due to floods utafikiaje eneo la tulio kama si kwa kutumia service road? Wakati mwingine muache ubishi wa kitoto.
 
Bradhee, hivi hizi picha ni za Morogoro?
1000525074-jpg.3190703


1000525095-jpg.3190701
Hiyo picha ya chini ya boda boda ni Morogoro tena hiyo road ya vumbi unatokea shamba la magereza ya Morogoro.
Na sasa hivi wameshaanza uchongaji ili wapitishe lami.
Hata huyo Mjapan kataja Morogoro hajataja Dodoma.
 
What on earth is service road ya reli bradhee?
Railways are serviced by vehicles that move on the rail, not beside the rail.
csm_Zweiwegefahrzeuge_nach_der_Jahrtausendwende_1_046c5c404a.jpg
Hi-Rail-4.jpg


Beside, this photo was taken by a Japanese man who rode a boda boda on the road on his way to the SGR station and he clearly stated that the road is unpaved

View: https://twitter.com/JapanAmb_TZ/status/1824813226783109320

Reli iking'oka kwahiyo hiyo gari inayotembea juu ya reli ndio hutumika kufanyia service!?
Broo embu kuwa serious kidogo.
Lazima kuwe na barabara ya ukarabati ama ukandarasi ikiwa ndani ya fence ya mamlaka ya reli kwaajili ya service ya reli kwa namna yeyote.
 
Ile 737 BBJ vipi?? Ile ingemake more sense, siku hizi mama anasafiti na msafara mkubwa, kwenye hii G700 hawatoshi.......au ile bado inakuja??
Mpango wa 737 BBJ bado uko palepale na budget imeshatengwa FY 2024/2025 huu ni mpango tuu wa executive fleet renewal
 
Reli iking'oka kwahiyo hiyo gari inayotembea juu ya reli ndio hutumika kufanyia service!?
Broo embu kuwa serious kidogo.
Lazima kuwe na barabara ya ukarabati ama ukandarasi ikiwa ndani ya fence ya mamlaka ya reli kwaajili ya service ya reli kwa namna yeyote.
Reli kungóka is not an everyday thing. You do not need a road running along the rail to fix that. Think.
 
Back
Top Bottom