ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Look who is talking 🤣🤣🤣👇
Bil.500 unayoitaja unadhani itamaliza pengo? Network ya Barabara hasa za Tarura inakua Kila siku Miji na Vijijini vipya vinavyoongezeka,aliyekudanganya kwamba hizo pesa ndio zitamaliza hizo shida ni nani?
Pili mahitaji ya Nchi sio Barabara pekee,Kuna shule ,maji ,Afya nk Mfano Bajeti ya mikopo ya wanafunzi wa Vyuo ni zaidi ya Bil.800 lakini wanafunzi wamekosa Bado ,hapo hela inatosha?
Ku summarise tuu ni kwamba Bajeti ya Nchi ni zaidi ya Trilioni 45 lakini makusanyo ya vyanzo vyote ni wastani wa Trilioni 30 huku nakisi ikizibwa na mikopo na hiyo mikopo inalipwa tena Kwa riba.
Hakuna siku pesa zinatosha au umewahi sikia Bajeti ya USA imetosha? Kama huko hazitoshi ndio itakuwa Tanzania ambayo population growth ni zaidi ya 3%? Yaani Juu ya ukuaji wa Uchumi.
Mwisho mwaka ujao SSH government utaanza kukusanya mara 2 ya Mwendazake na pesa zitatoka hapa 👇 👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1869235203979301295?t=9mim15YkHFJAh-C_BUObGg&s=19
Ujinga sana alafu kuna mijitu kazi kusifia. Noti unaona kabisa zinaharibika mtaani na kurudiwa kuprint, plus cashless economy huenda ikasaidia sana kuinua huu uchumi na kupunguza matukio ya wizi utapeli na ujambazi.Kwa nini lipa kwa Mpesa wanatoza tozo? Hawaone wanadiscourage Mobile cashless economy?
Delegate umeenda sana mbali, hawa wa humu tu hawapandi. 😂😂😂Hata hapo unaona yupo mazingira ya Kidunia ya kisasa. Akapige na garimoshi tuone.
Mbona hatusikii hata delegate wakiitumia ngijangija hata wenyewe humu hawaendi lipanda.
Samia Infrastructure Bond I alenga kupata pesa za kuwakopesha wakandarasi Kwa riba ndogo waweze Kufanya kazi zao hata pale malipo ya Serikali yakichelewa.Umeelewa hata nilichoangika?
Eti dunia ya kisasa. 🤣🤣🤣Hapo Dodoma akitoka kwenye station mazingira ndio haya. Usidhani hatuijui Dodoma.Hata hapo unaona yupo mazingira ya Kidunia ya kisasa. Akapige na garimoshi tuone.
Mbona hatusikii hata delegate wakiitumia ngijangija hata wenyewe humu hawaendi lipanda.
Wapuuzi hao sisi tumekuwa na dry port kabla wao hawajajua dry port ni nini?Hawa mbuzi wa kibera ni wajinga kama pimbi au warthog kwamba wao tu ndiyo wana dry Port
Eti dunia ya kisasa. 🤣🤣🤣Hapo Dodoma akitoka kwenye station mazingira ndio haya. Usidhani hatuijui Dodoma.
View attachment 3190701
View attachment 3190703
View: https://x.com/JapanAmb_TZ/status/1824813226783109320?t=d-GG9fQonDGG5atSr5wENg&s=19
Sherehe ziko wapi hapo ??Sherehe za mwaka mpya Arusha. 👇🏾View attachment 3190708View attachment 3190709View attachment 3190710View attachment 3190711