Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are stupid. Yaaani 2024 unaongelea bundle. 😀 😀 😀 wakenya ni maskini sana.

Either maisha ndio umeanza juzi
Angekuwa nazo hangeuliza ile swali wakati alichouliza was clearly shown in the video
 
Hizi juice zote hapa ziko manufactured in Kenya, na zinapatikana kwa supermarket ya bongoslum. 🤣 🤣 🤣
1. Acacia Kids Juice
2. Frosti Juice
3. Fruitville
4. Orchid Valley



View attachment 3177938
Katika hiyo list naijua fruitville tu!! Na ambayo pia sinywi, poor quality, zingine zote takataka tu!! Bora ninywe Ufresh kuliko taka taka hizo!!
 

Hawa jamaa washamba hawa sijawahi kuona, angalia nguo gani hizi vijana wanavaa, wakenya bado wapo 70s 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20241216-194943_1.jpg
 
Zinafanya nini kwenye shelves za supermarkets zenu kama hazinunuliki? Why would supermarkets stock items that don't sell? Unafikiri ni vilaza kama wewe?
Sasa kama mwenye supermarket ni mkenya unategemea atajaza sabuni za wapi, lazima ziwe za kunyaland kwasababu anapita nazo kimagendo, lkn kiukweli kabisa hizo products huku mtaani hazipo, kwanza over 90% ya watanzania hawana utaratibu wa kwenda supermarket, sisi tunatumia markets na ndiyo maana unaona serikali imejenga masoko mengi sana mapya cz uchumi wa mtanzania upo hivyo, no wonder the region on the matter of inclusive economy.
 
Back
Top Bottom