President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
You are stupid. Yaaani 2024 unaongelea bundle. 😀 😀 😀 wakenya ni maskini sana.Atoe bundles wapi ya kuwatch video?
Either maisha ndio umeanza juzi
You are stupid. Yaaani 2024 unaongelea bundle. 😀 😀 😀 wakenya ni maskini sana.Atoe bundles wapi ya kuwatch video?
Hio subuni nilitakq nimwambie Asian asiangalie label zinatengezwa Mbagala hizo!Jamaa kiazi sana huyo.
Bidhaa zao ni za kumulika kweli kweli kwa sasa. Kuna viwanda vingi sana vya bidhaa hizo za FMGs hapa Bongo.
Mimi bidhaa pekee ya kunyaland nayo tumia ni sabuni ya kuoga... Na ndio naipiga chini maana copy zimezidi. Imebakiza kale ka logo kasikoisha ila harufu yake imepotea completely.
Video inaonesha supermarket moja tu tena ile ya hovyo hovyo.Atoe bundles wapi ya kuwatch video?
Wewe Mpumbavu kweli, angalia hii video, products za Tanzania zimetakeover
View: https://youtu.be/mjvOrot5Ux0?si=lXEhf3OzbBxlCTC0
Hio subuni nilitakq nimwambie Asian asiangalie label zinatengezwa Mbagala hizo!
Blueband bado maarufuImeshanitoka kabisa hiyo. Kumbe ni za hapa hapa saivi hizo sabuni.
Kwa sasa hakuna product inayosumbua sokoni inayotoka kwao. Ila product za Bongo zinasumbua sana maduka yao huko kunyaland
Nice & Lovely ndio nini hicho. Mbona sijawi kusikia hapa nchini.Tayari nishaona Nice & Lovely lotion, Kericho gold tea, gofruit juice. 🤣 🤣 🤣 Na bado munajidanganya hakuna products za Kenya bongoslum.
Blueband bado maarufu
Blueband siyo bidhaa ya kenya. Ni bidhaa kutoka ulaya.Blueband bado maarufu
Kuna siku walisema Watanzania hawajui wala hawatumii Wi-Fi Router. 😂😂😂You are stupid. Yaaani 2024 unaongelea bundle. 😀 😀 😀 wakenya ni maskini sana.
Either maisha ndio umeanza juzi
Ebu tuonyeshe hizo products za bongo zile zinasumbua in Kenyan supermarkets tucheke. 🤣 🤣 🤣 Tayari tushaona products mingi sana manufactured in Kenya kwa supermarket za bongoslum.Imeshanitoka kabisa hiyo. Kumbe ni za hapa hapa saivi hizo sabuni.
Kwa sasa hakuna product inayosumbua sokoni inayotoka kwao. Ila product za Bongo zinasumbua sana maduka yao huko kunyaland
It's manufactured in Kenya just like many other foreign brands.Blueband siyo bidhaa ya kenya. Ni bidhaa kutoka ulaya.
kwann musitaje direct tanzania mpaka museme east africa au munaogopa watalii watavutiwa sana na tanzania??
wajinga ni nyie mpaka leo hamujabadilika bado munadhani dunia nile ile ile ya 90s ya uongo uongo na ujuaji😂😂😂😂
Ebu tuonyeshe hizo products za bongo zile zinasumbua in Kenyan supermarkets tucheke. 🤣 🤣 🤣 Tayari tushaona products mingi sana manufactured in Kenya kwa supermarket za bongoslum.
Ebu nionyeshe just three products from bongoslum hapa kwa hii video nicheke. 🤣🤣🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=nb3ufXlmXrY
Wewe nionyeshe product hata moja from bongoslum, wacha kulia. Hio ni a major supermarket in Kenya, na kupata any product from bongoslum nikama kutafuta sindano kwenye nyasi. 🤣 🤣 🤣Hii video iko na all supermarkets and retail outlets in kunyaland?
Kwani trade balance Tz vs Ke ikoje? Maana kujua nani anamuuzia mwenzie vitu vyenye thamani ni kuangalia trade balance.. Hii ya kuangalia video za supermarkets ni childish.Wewe nionyeshe product hata moja from bongoslum, wacha kulia. Hio ni a major supermarket in Kenya, na kupata any product from bongoslum nikama kutafuta sindano kwenye nyasi. 🤣 🤣 🤣
Hebu tukumbushe mkuu maana huyu mtu anataka tuangalie youtube videos kujua wanauza vitu Tz.Hivi hawa nyang'au wanajifanya hawajamsikiliza rais wao?😁
Wewe nionyeshe product hata moja from bongoslum, wacha kulia. Hio ni a major supermarket in Kenya, na kupata any product from bongoslum nikama kutafuta sindano kwenye nyasi. 🤣 🤣 🤣
Munatuuzia raw materials tunawauzia finished products. It's simple as that.Kwani trade balance Tz vs Ke ikoje? Maana kujua nani anamuuzia mwenzie vitu vyenye thamani ni kuangalia trade balance.. Hii ya kuangalia video za supermarkets ni childish.