ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
yule msanii wa kenya asione hii plz😂😂
View: https://x.com/caf_online/status/1868445332813566296?s=46
View: https://x.com/caf_online/status/1868445332813566296?s=46
Mzee usipende kujifariji, tuna kampuni kama Azam na Mo, zote Zina manufacture vitu kama hivyo ulivypost wewe at a very low cost.Hizi juice zote hapa ziko manufactured in Kenya, na zinapatikana kwa supermarket ya bongoslum. 🤣 🤣 🤣
1. Acacia Kids Juice
2. Frosti Juice
3. Fruitville
4. Orchid Valley
View attachment 3177938
Toka mkataba umesainiwa ni mda gani umepita?taarifa huyu atakua nayo 😂😂 ChoiceVariable
Wacha ujinga sio basketball ile.Utopolo wacha kijiba! Unajua kukotokea foul saa huslmamishwa mpaka. Adhabu itolewe?
Si mulisema hakuna products za Kenya kwa supermarket za bongoslum. 🤣 🤣 🤣Mzee usipende kujifariji, tuna kampuni kama Azam na Mo, zote Zina manufacture vitu kama hivyo ulivypost wewe at a very low cost.
Then what.?Hizi juice zote hapa ziko manufactured in Kenya, na zinapatikana kwa supermarket ya bongoslum. 🤣 🤣 🤣
1. Acacia Kids Juice
2. Frosti Juice
3. Fruitville
4. Orchid Valley
View attachment 3177938
supermarket zipo mpaka juice zinatoka UK, south africa, etc hakuna bidhaa inakataliwa kuingia tanzania swali je soko lipo ?? hata sabuni ya omo 10yrs ago ilikua na soko kubwa ila kwasasa omo haina soko kabisa tanzania kwasababu makampuni ya sabuni tanzania yanachuana vibaya mno. yani wewe hoja yako ni ya kipumbavu kabisaHizi juice zote hapa ziko manufactured in Kenya, na zinapatikana kwa supermarket ya bongoslum. 🤣 🤣 🤣
1. Acacia Kids Juice
2. Frosti Juice
3. Fruitville
4. Orchid Valley
View attachment 3177938
Unajitegemea kutokea wapi? Kwamba una grid independent? Na hata kama una grid independent kwani faults Huwa hazitokei?changamoto grid gani wakat umeme wa SGR unajitegemea na ndivo tuliambiwa au ni tofaut na hvo, kama hakuna mtu wakuwajibika reli itahujumiwa kila siku tutaskia changamoto za gridi lakini nyuma kuna ushuzi tu ulioza
hata kenya kwenye debt walianza hvo hvo yani kama 2021 debt to GDP ratio tanzania ilikua 37 na sasa 3 yrs ngoma inagonga over 55%, basi nakukumbush na kenya walianza hvo hvo na sasa hawana hata pesa yakulipa madaktari mpaka wakope kwasababu pesa zote zinaenda kulipa madeni😂😂😂😂😂
na sisi tuendelee kushangili tu
faulo gani ww muda ushaisha goli linaingia dakika ya 10 😂😂😂😂😂😂Utopolo wacha kijiba! Unajua kukotokea foul saa huslmamishwa mpaka. Adhabu itolewe?
Na kama itatokea wakaruhusu kuingiza bidhaa zetu huko kwao, basi vi brand vyao uchwara vyote vitajifia.supermarket zipo mpaka juice zinatoka UK, south africa, etc hakuna bidhaa inakataliwa kuingia tanzania swali je soko lipo ?? hata sabuni ya omo 10yrs ago ilikua na soko kubwa ila kwasasa omo haina soko kabisa tanzania kwasababu makampuni ya sabuni tanzania yanachuana vibaya mno. yani wewe hoja yako ni ya kipumbavu kabisa
au unataka kusema azam energy ikiuzwa kenya inamana hakuna energy zingine??
😂 mkuu ni dakika ya 8 bhana. Halafu hata hivyo jamaa walikua wanapiteza muda sana. Refa alifidia muda walio upoteza.faulo gani ww muda ushaisha goli linaingia dakika ya 10 😂😂😂😂😂😂
kwa sasa hawawezi tena kushindana na product za tanzania kutokana na bei, uzalishaji wa kenya ni expensive kulinganisha na tanzania, mm juzi numetoka mombasa, wasaga mirungi wengi wanatumia azam energy kwasababu ni bora na pia ni cheap kulinganisha na energy zao tena hili swali nimeuliza na nikajibiwa hvo 😂😂😂😂Na kama itatokea wakaruhusu kuingiza bidhaa zetu huko kwao, basi vi brand vyao uchwara vyote vitajifia.
😂 mkuu ni dakika ya 8 bhana. Halafu hata hivyo jamaa walikua wanapiteza muda sana. Refa alifidia muda walio upoteza.
Ndio naziona leo juice hizo. Sijawahi kuziona. Na sidhani kama zipo na wateja.Hizi juice zote hapa ziko manufactured in Kenya, na zinapatikana kwa supermarket ya bongoslum. 🤣 🤣 🤣
1. Acacia Kids Juice
2. Frosti Juice
3. Fruitville
4. Orchid Valley
View attachment 3177938
Viwili vitatu na zime occupy half of the fridge. Juice ngapi za bongoslum zinauzwa Kenya?Then what.?
Kuna brands karibu 20 za kuzalisha hizo juice. Kuwepo na hivyo vi kopo viwili vitatu, ndio nini.? Kwamba watu wasiwe na machaguzi mengi au.?
Hio Azam yenu hata kuipata ni bahati. 🤣 🤣 Si mulituambia hakuna Kenyan products huko bongoslum.supermarket zipo mpaka juice zinatoka UK, south africa, etc hakuna bidhaa inakataliwa kuingia tanzania swali je soko lipo ?? hata sabuni ya omo 10yrs ago ilikua na soko kubwa ila kwasasa omo haina soko kabisa tanzania kwasababu makampuni ya sabuni tanzania yanachuana vibaya mno. yani wewe hoja yako ni ya kipumbavu kabisa
au unataka kusema azam energy ikiuzwa kenya inamana hakuna energy zingine??
Unampinga rais wako kwa kusema ukweli?😎Ju yeye ndio KNBS sio? Report itatoka tu na tutaona.
Hee! Humuamini rais wa nchi? Una wazimu wewe? Rais anaanza kujua kabla hao knbs.Ju yeye ndio KNBS sio? Report itatoka tu na tutaona.
Huyo hasemangi ukweli, sisi ndio tunamjua.Unampinga rais wako kwa kusema ukweli?😎