Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Wewe ni mwehu. Eti supermarket iliyokuwa kwenye ile video ni ya mkenya? Do you have any proof?Sasa kama mwenye supermarket ni mkenya unategemea atajaza sabuni za wapi, lazima ziwe za kunyaland kwasababu anapita nazo kimagendo, lkn kiukweli kabisa hizo products huku mtaani hazipo, kwanza over 90% ya watanzania hawana utaratibu wa kwenda supermarket, sisi tunatumia markets na ndiyo maana unaona serikali imejenga masoko mengi sana mapya cz uchumi wa mtanzania upo hivyo, no wonder the region on the matter of inclusive economy.
Alafu eti anapitisha bidhaa za Kenya na kuingiza Bongo kimagengo? In case that's true, what's your relevant authoritjes doing about it?
Alafu eti nyinyi hamna utaratibu wa kwenda supermarkets? Kwa hivyo hizo supermarkets zilizopo Dar na Tanzania nzima ni wakenya wanaenda?
Nyinyi vilaza hamkosangi vingizio, kawaida yenu sana