Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi ni vitu gani? Mbona ndio nasoma hapa saiv!?

Hebu tuone hizo products zikiwa kwenye shelf za supermarket.

Hakuna anaenunua dairy products kunyaland... Huku ziko kampuni nyingi sana na bei rahisi.. UG alijaribu na lato akafeli vibaya sana amekimbia.

Velvex tissue za wahindi wana kiwanda mikocheni.. Softcare ya wachina wana kiwanda kibaha.

Hizo juice ndio zimejazana hapa za no, azam, jambo etc... Za nje common ni moja tu ceres ya SA. Hakuna bidhaa ya kunyaland kwenye shelfs za wabongo
Zaidi ya Royco na Omo sijaona biashara ya mkenya Tz
 
Hivi ni vitu gani? Mbona ndio nasoma hapa saiv!?

Hebu tuone hizo products zikiwa kwenye shelf za supermarket.

Hakuna anaenunua dairy products kunyaland... Huku ziko kampuni nyingi sana na bei rahisi.. UG alijaribu na lato akafeli vibaya sana amekimbia.

Velvex tissue za wahindi wana kiwanda mikocheni.. Softcare ya wachina wana kiwanda kibaha.

Hizo juice ndio zimejazana hapa za no, azam, jambo etc... Za nje common ni moja tu ceres ya SA. Hakuna bidhaa ya kunyaland kwenye shelfs za wabongo
Me mwenyewe hata sielewi ni vitu gani, Nicxie anakuambia vimejaa bongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ebu tuonyeshe hizo products za bongo zile zinasumbua in Kenyan supermarkets tucheke. 🤣 🤣 🤣 Tayari tushaona products mingi sana manufactured in Kenya kwa supermarket za bongoslum.

Ebu nionyeshe just three products from bongoslum hapa kwa hii video nicheke. 🤣🤣🤣

View: https://www.youtube.com/watch?v=nb3ufXlmXrY

Muulize rais wako alimaanisha nn kusema Tanzania inaongoza kwenye trade EA.
 
Back
Top Bottom