Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata Sasa ni za umeme ila Changamoto za gridi ndio zinakabiliwa Kwa kutafuta hybrid Locomotives.

Na hii ikufikie 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDnG6nVicne/?igsh=ZnRtcDRid2VjZTFp

changamoto grid gani wakat umeme wa SGR unajitegemea na ndivo tuliambiwa au ni tofaut na hvo, kama hakuna mtu wakuwajibika reli itahujumiwa kila siku tutaskia changamoto za gridi lakini nyuma kuna ushuzi tu ulioza

hata kenya kwenye debt walianza hvo hvo yani kama 2021 debt to GDP ratio tanzania ilikua 37 na sasa 3 yrs ngoma inagonga over 55%, basi nakukumbush na kenya walianza hvo hvo na sasa hawana hata pesa yakulipa madaktari mpaka wakope kwasababu pesa zote zinaenda kulipa madeni😂😂😂😂😂

na sisi tuendelee kushangili tu
 
Mheshimiwa Rais kaisha tangazia dunia Tanzania ina export zaidi Kenya kuliko inavyo import.Hivo haina maana kuwa hakuna chochote cha Kenya kwenye maduka ya bongo.
Ju yeye ndio KNBS sio? Report itatoka tu na tutaona.
 
Kama umeme unakatika treni inaweza kutembea hadi station ile yenye kichwa. EMU inasimama hapo hapo.
Uneme wa SGR ni line yake kutoka kwenye National Grid. Umeme wa SGR ili ukatike inabidi National Grid yote isiwe na umeme,kama ilivyotokea juzi juzi ambayo ni very rare.Au mtu akate catenary wire. Mara zote nyingine treni ilikuwa inakwama kwasabbau ya mifumo ya uendeshaji kwenye treni yenyewe au TRC.
mm kwa upande wangu naona hakuna uwajibikaji tu kaka, tumejenga reli ya kisasa sana yenye mifumo ya standard ya euro2 na tumeleta treni za kisasa sana sidhani kwa africa kama kuna mtu anatusogelea lakini shida yetu na kasumba yetu ni ile ile, hatuwajibiki mpaka tuwajibishwe.
 
ila jana refa kafanya majabu kwa kweli asante refa kwa kutotoa kimasomaso sisi watanzania sijui tungeweka wapi sura yetu😂


View: https://x.com/sportsarenatztz/status/1868314736544428154?s=46

IMG_2149.jpeg
 
ile ndio evidence yako ww mwenywe huoni aibu ???😂😂😂😂
Hizi juice zote hapa ziko manufactured in Kenya, na zinapatikana kwa supermarket ya bongoslum. 🤣 🤣 🤣
1. Acacia Kids Juice
2. Frosti Juice
3. Fruitville
4. Orchid Valley



ScreenShot Tool -20241216044237.png
 
Jamaa kiazi sana huyo.

Bidhaa zao ni za kumulika kweli kweli kwa sasa. Kuna viwanda vingi sana vya bidhaa hizo za FMGs hapa Bongo.
Mimi bidhaa pekee ya kunyaland nayo tumia ni sabuni ya kuoga... Na ndio naipiga chini maana copy zimezidi. Imebakiza kale ka logo kasikoisha ila harufu yake imepotea completely.
Carsons?
 
Back
Top Bottom