buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
ila jana refa kafanya majabu kwa kweli asante refa kwa kutotoa kimasomaso sisi watanzania sijui tungeweka wapi sura yetu😂
View: https://x.com/sportsarenatztz/status/1868314736544428154?s=46
View attachment 3177937
Ila bana sio sehemu kuleta ushabiki wa simba na yanga ilipaswa hata dk ziwe 10 za nyongeza.
Maana waarabu walikua muda wote wanajiangusha kupoteza muda.