tunarudi kwenye concept yetu ni kua kwanza treni ziwe za umeme na tuliahidiwa kua umeme wa treni utajitegemea na hata ukikatika kutakua na powerbank behewa moja ambalo litatembeza treni mpaka km 60 ili isilale porini 😂😂😂😂😂Kwenda zako huko,hii Teknolojia ya Hybrid ni ya Africa? Mbishie Kadogosa.
Mwisho huwezi jilinganisha na Ulaya by any means
kama nini hebu taja hzo many products😂😂Many product in your supermarkets are manufactured in Kenya.
itapita kwenye tunnel na hzo double decker ni kwa ajili ya masafa marefu ikiwemo mwanza tabora huko etcHivi vichwa vya ile double decker vinakuja lini? Halafu nasikia double decker kutoka Dar hadi Moro tu kwasababu haipiti kwenye tunnel...
Hata Sasa ni za umeme ila Changamoto za gridi ndio zinakabiliwa Kwa kutafuta hybrid Locomotives.tunarudi kwenye concept yetu ni kua kwanza treni ziwe za umeme na tuliahidiwa kua umeme wa treni utajitegemea na hata ukikatika kutakua na powerbank behewa moja ambalo litatembeza treni mpaka km 60 ili isilale porini 😂😂😂😂😂
sasa hvi unatueleza habari gani tena mzee hakuna cha hybrid wala nn ni kua hakuna uwajibikaji kwa sasa full stop
1. Cussons products
2. Amara lotion and body wash/hand wash
3. Brookside products
4. Daima milk
5. Dairyland products
6. Gofrut juice
7. Orchid Valley Juice
8 . Fruitville Juice
9. Frosti Juice
10. Velvex products
11. Zesta products
12. Bidco Products, Kimbo, Cowboy
13. KCC products
14. Softcare Products
Hizo ndio nimespot, I'm sure kuna mingi sana sijaspot. Yani supermarket ya bongoslum imejaa tu foreign products. 🤣 🤣 🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=ufPJRUX5wvU&t=1236s
Ni muendelezo vivumishu tu, international, ultra modern, state of art. 😂😂😂Mpumbavu huyu nani kamwambia ni largest hospital in EA?
Ni muendelezo vivumishu tu, international, ultra modern, state of art. 😂😂😂
View: https://x.com/larrymadowo/status/1868373238289416309?s=46
Haipiti. Tunnel fupi.itapita kwenye tunnel na hzo double decker ni kwa ajili ya masafa marefu ikiwemo mwanza tabora huko etc
Uchawa ni kazi kweli. Hao wajinga ndio wanafanya vitu vioze kwa ndio ndio za kijinga.tunarudi kwenye concept yetu ni kua kwanza treni ziwe za umeme na tuliahidiwa kua umeme wa treni utajitegemea na hata ukikatika kutakua na powerbank behewa moja ambalo litatembeza treni mpaka km 60 ili isilale porini 😂😂😂😂😂
sasa hvi unatueleza habari gani tena mzee hakuna cha hybrid wala nn ni kua hakuna uwajibikaji kwa sasa full stop
Ni muendelezo vivumishu tu, international, ultra modern, state of art. 😂😂😂
View: https://x.com/larrymadowo/status/1868373238289416309?s=46
Kama umeme unakatika treni inaweza kutembea hadi station ile yenye kichwa. EMU inasimama hapo hapo.tunarudi kwenye concept yetu ni kua kwanza treni ziwe za umeme na tuliahidiwa kua umeme wa treni utajitegemea na hata ukikatika kutakua na powerbank behewa moja ambalo litatembeza treni mpaka km 60 ili isilale porini 😂😂😂😂😂
sasa hvi unatueleza habari gani tena mzee hakuna cha hybrid wala nn ni kua hakuna uwajibikaji kwa sasa full stop
Ilifilisika kwa ndoto zako ama?Bidco kafilisika!
Nilitaja na nikaweka video evidence.kama nini hebu taja hzo many products😂😂