Wewe ebu tuonyeshe hizo duka zako za Kenya ambazo zinauza products za bongslum. Tayari tushaona duka zenu zinauza products kibao manufactured in Kenya.Ndio umeshajibu nilicho kuuliza hivyo?
Wewe ebu tuonyeshe hizo duka zako za Kenya ambazo zinauza products za bongslum. Tayari tushaona duka zenu zinauza products kibao manufactured in Kenya.Ndio umeshajibu nilicho kuuliza hivyo?
It's manufactured in Kenya just like many other foreign brands.
Who gets more $$$?Munatuuzia raw materials tunawauzia finished products. It's simple as that.
Of course mwenye anauza finished products.Who gets more $$$?
Are you sure? Tz vs Ke trade balance says otherwise.Of course mwenye anauza finished products.
Bado haujajibu swali, au wewe ndio type ya wale wanafunzi wanaojitungia maswali yao kwenye mtihani baada ya kukosa kitu cha kujaza kwenye answer sheets?Wewe ebu tuonyeshe hizo duka zako za Kenya ambazo zinauza products za bongslum. Tayari tushaona duka zenu zinauza products kibao manufactured in Kenya.
Otherwise gani?Are you sure? Tz vs Ke trade balance says otherwise.
Swali gani we mwehu?Bado haujajibu swali, au wewe ndio type ya wale wanafunzi wanaojitungia maswali yao kwenye mtihani baada ya kukosa kitu cha kujaza kwenye answer sheets?
1. Cussons products
2. Amara lotion and body wash/hand wash
3. Brookside products
4. Daima milk
5. Dairyland products
6. Gofrut juice
7. Orchid Valley Juice
8 . Fruitville Juice
9. Frosti Juice
10. Velvex products
11. Zesta products
12. Bidco Products, Kimbo, Cowboy
13. KCC products
14. Softcare Products
Hizo ndio nimespot, I'm sure kuna mingi sana sijaspot. Yani supermarket ya bongoslum imejaa tu foreign products. 🤣 🤣 🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=ufPJRUX5wvU&t=1236s
They don't care.... Wanashangaza sana...au wenzetu wana nchi nyingine wanaita kwao zaidi ya Tanzania....ni kama mtoto wa kwanza wa kiume who doesnt care mali za mshua wake...kazi kutapanya ovyo kutumia na videmu. Ndo viongozi wengi tulionao.Alafu walikua wanasema eti Magufuli anatoa pesa imagine unakusanya 1bn Dollars, mradi wa 300bn utakushinda?
Kumbuka miaka 5 ya mzee gari za serikali zilikua STL mwisho. Baada ya kufa tu ghafla ziko STN. Na series moja ni gari 9000.
Now kila mradi ukiwa over 100bn shillings wanawaza kukopa tu.
Yaani mkopo wa $200m huku unakusanya $1bn? Does it make sense na kumbuka huo ni mwezi mmoja tu.
Tanzania tunaweza anzisha mradi tuseme mradi uwe $10bn full financed na domestic revenue kwa period ya 5 years mbona inawezekana ndio maana JNHPP alijua inawezekana bila hata pesa yao kabisa.
Hata tukiamua 4 way lane carriageway mpaka Dodoma inawezekana kwa pesa za ndani plus unamuweka mkandarasi unayemtaka kabisa.
Huone KIMARA KIBAHA - ESTM CONSTRUCTION
SGR - YAPPI MERKEZ LOT YA KWANZA
JNHPP - ARAB CONTRACTOR & EL SEWEDY ELECTRIC.
Hivyo hivyo unaweza tega $1bn zikaishia kwa wakandarasi wa ndani kufikisha barabara Njia nne dodoma.
Ni maamuzi magumu tu.
Kwa akili yako inamake sense muwe na 2 fold of energy cost compared to Tanzania halafu products ziwe cheaper kuliko Tanzania?
View: https://x.com/jumaf3/status/1617801777738547203?t=tpCIZ2BX5dhRY6iAHE0ZHQ&s=19
Kwani ni lazima uzitumie? Ununuangi vitu kwa supermarket so where do you expect to use them.Yaani zote ulizotaja... sijawahi tumia hata moja...
Labda hio supermarket aliyotembelea inamilikiwa na mkenya
Mkuu, Honestly speaking, ninaomba Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, aendelee kuwabariki na kukulinda wewe pamoja na familia yako yote.Are you sure? Tz vs Ke trade balance says otherwise.
The Kes had stabilized at 129 against the Usd, but that’s not even why i laughed it’s because mahn where do you get the balls to laugh at the Kes over the Tzs
Hawawezi. Wanajua wakiruhusu viwanda vyao vimekufa.Hakuna kitu kinatengenezwa Kenya na Tanzania hakuna, product zote ulizolist hapo juu kuna brand zaidi ya tatu kwa kila moja zinatengeneza same product.
Sisi hatuna hiyana kama nyie, finished products za Tanzania na Uganda hamtaki kabisa kwenye supermarket zenu ili mtemgeneze artificial superiority. Ila data zinawaumbua.
Huku Tanzania mtu habanwi cha kitumia anachagua atakacho....bidhaa za Uganda zipo, south Africa, Zambia, yani sisi hatuna nona.
Sasa imagine nyie mgeruhisu finished products za Tanzania ziwe visible huko kwenu, si viwanda vyote vingekufa tu. Yani hata Azam juice hamtaki huko kwenu mnabana......
Badilikeni nyang'au nyie.
Devolution maana yake ni nini sasa?Sasa ni county governments (in this case kakamega county government) ndio waamuzi wa kudecide ni viwanja vipi vitatumika or is it the role of the government through sports ministry?
Acha ujinga weweYet basic commodities in Tanzania are still expensive than they are in Kenya.