Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,097
- 32,918
Nchi inajengwa kimya kimya nyang'au wakija kukumbuka shuka kumeshapambazuka😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=1gRgJ_VuMgI
View: https://m.youtube.com/watch?v=1gRgJ_VuMgI
Kwamba kumiliki train ya umeme ni kigezo Cha maendeleo? Mitanganyika akili zenu zimeganda. Hivi, unamaanisha Tanzania imeendelea kuliko nchi nyingi za ulaya ambazo hazina train za umeme? Kuna haja gani kushabikia train ya umeme wakati nchi yako ndio inaongoza kwa umasikini ukanda huu?Sawa ongea yote but the truth is Tanzania is ahead of Kenya in almost everything, na ndiyo maana tuko vzr kiuchumi kuliko nchi zote East Africa combined ukibisha muulize rais wako, wewe unafikiri nchi kuwa na maendeleo kama Tanzania ni mchezo? Au unadhani kumiliki treni ya umeme ni rahisi kwamba hata Kenya inaweza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eti Dodoma ni ya juzi? 😂😂😂Na ajabu some high rise ni ya foreigners, huoni wapo KONZA wanasubiri watu wajenge.
Toka enzi za kibaki, while Dodoma ya juzi tu.
Hapa si mtandaoni?Lakini ukiingia mitandaoni mambo ni vice versa, kuanzia wananchi mpaka rais wenu mnaiongelea Tanzania 24/7.
Ulikuwa unataka mnyamwezi ateuliwe?
Ulikuwa unataka mnyamwezi ateuliwe?Toka jaluo muambiwe pesa Yote ya kunyaland ipo homabay hata kuandamana hamtaki tenaa... Ile kubeba masufuria kichwani na kujaza mawe kwenye makoti mmeachaa...
Mmewatenga watu wa sentroo sio?
...........ama Muhehe. 😂 😂 😂Ulikuwa unataka mnyamwezi ateuliwe?
Nasikia kuna wengine wanaitwa hadi Ha! 🤣🤣...........ama Muhehe. 😂 😂 😂
Fool! Sio treni ya umeme bali high speed treni na SGR ndefu. Wew Kima kama ingekuwa swala jepesi mbona ynu inatumia mkaa?Kwamba kumiliki train ya umeme ni kigezo Cha maendeleo? Mitanganyika akili zenu zimeganda. Hivi, unamaanisha Tanzania imeendelea kuliko nchi nyingi za ulaya ambazo hazina train za umeme? Kuna haja gani kushabikia train ya umeme wakati nchi yako ndio inaongoza kwa umasikini ukanda huu?
Bado🙂Hivi hii battle haijaisha?
Kuna nchi nyingi sana ulaya wanatumia kama hiyo yetu na wamewazidi Kwa kila kituFool! Sio treni ya umeme bali high speed treni na SGR ndefu. Wew Kima kama ingekuwa swala jepesi mbona ynu inatumia mkaa?
Nchi gani ya ulaya haina treni ya umeme?Kwamba kumiliki train ya umeme ni kigezo Cha maendeleo? Mitanganyika akili zenu zimeganda. Hivi, unamaanisha Tanzania imeendelea kuliko nchi nyingi za ulaya ambazo hazina train za umeme? Kuna haja gani kushabikia train ya umeme wakati nchi yako ndio inaongoza kwa umasikini ukanda huu?
Rais wako akiona hii comment yako ataagiza uuwawe, yani mwenzio vitabu keshaviona vinasema Tanzania inaongoza kwa uchumi EA alafu wewe unasema vingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba kumiliki train ya umeme ni kigezo Cha maendeleo? Mitanganyika akili zenu zimeganda. Hivi, unamaanisha Tanzania imeendelea kuliko nchi nyingi za ulaya ambazo hazina train za umeme? Kuna haja gani kushabikia train ya umeme wakati nchi yako ndio inaongoza kwa umasikini ukanda huu?
Kipi ambacho hujaelewa, au wivu tu unakusumbua baada ya kuona tunaijenga upya Dom alafu nyie mmebaki na Nairobi iliyojaa ma slums left right and center 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti Dodoma ni ya juzi? 😂😂😂
A town that has been in existence even before my forefathers were born!!
When was the government officially moved to Dodma?Eti Dodoma ni ya juzi? 😂😂😂
A town that has been in existence even before my forefathers were born!!
Hapo unamuudhi nyang’au Nicxie kweli kweli😎…cz hakuna kitu kipo Kenya na hakipo Tanzania ila kuna vingi vipo Tanzania huwezi kuviona East and central Africa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nchi nyingi ulaya blah blah blah!Kuna nchi nyingi sana ulaya wanatumia kama hiyo yetu na wamewazidi Kwa kila kitu