Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama huwajui ni ukilaza wako, sisi unatulaumu nin..?
Mkenya ajisumbue kukariri majina ya mawazari wa Tanzania ndio nini ifanyike? Shows how much we careless about what's going on down there. Lakini since we are your bigger brothers and you look up on us on many issues, you have no option but to know even the spouses of our governors
 
Sinza haina floor restriction beach plots residential areas zinazo! Ficha upumbavu!
Punguza jazba na gadhabu ukiwa unajibu Jambo fulani

Ulisema kwenye comment yako kuwa miji ambayo ipo planned huwezi kujenga 20 floors. Ndio nikakupa huo mfano. Hukuweka specific kuwa ni beach tu. Hapo kosa langu lipo wapi?

Pili naomba uweke hizo regulations zinazokataza number of floors kwenye beach areas. Hapo utakua umemaliza kila kitu na umesaidia wengine kujua hizo regulations
 
Mkenya ajisumbue kukariri majina ya mawazari wa Tanzania ndio nini ifanyike? Shows how much we careless about what's going on down there. Lakini since we are your bigger brothers and you look up on us on many issues, you have no option but to know even the spouses of our governors
Wenzako wanavyotajaga mpaka viongoz wa vyama vya upinzani unakuwaga wap..
 
So you wanted the minister of finance to be a Luo in every government? Is that your thinking? How about Kurians, Pokomos, Kambas, Maasais, Taitas? Ama huko kwenu Tanganyika kila kabila limepewa nafasi kuwa na waziri wa fedha?

Kwa hiyo kwa mara ya kwanza ndio jaluo mmepata waziri wa fedha.... Kwenye Nchi ya kabila tatu za kuongoza... Yani gikuyu.. Kales na luo hahaha...
 
Wenzako wanavyotajaga mpaka viongoz wa vyama vya upinzani unakuwaga wap..
Wapi? Unamaanisha yule alipigwa risasi na sisiemu karibu afe akaja kutafuta usiadizi ya matibabu Kenya ama kuna mwingine?

And for the record, we only came to know about him after he came to Nairobi (majuu) for good medical attention
 
Kwa hiyo kwa mara ya kwanza ndio jaluo mmepata waziri wa fedha.... Kwenye Nchi ya kabila tatu za kuongoza... Yani gikuyu.. Kales na luo hahaha...
Ulikuwa unataka mnyamwezi ateuliwe?
 
Mkenya ajisumbue kukariri majina ya mawazari wa Tanzania ndio nini ifanyike? Shows how much we careless about what's going on down there. Lakini since we are your bigger brothers and you look up on us on many issues, you have no option but to know even the spouses of our governors
Lakini ukiingia mitandaoni mambo ni vice versa, kuanzia wananchi mpaka rais wenu mnaiongelea Tanzania 24/7.
 
Wapi? Unamaanisha yule alipigwa risasi na sisiemu karibu afe akaja kutafuta usiadizi ya matibabu Kenya ama kuna mwingine?

And for the record, we only came to know about him after he came to Nairobi (majuu) for good medical attention
Sawa ongea yote but the truth is Tanzania is ahead of Kenya in almost everything, na ndiyo maana tuko vzr kiuchumi kuliko nchi zote East Africa combined ukibisha muulize rais wako, wewe unafikiri nchi kuwa na maendeleo kama Tanzania ni mchezo? Au unadhani kumiliki treni ya umeme ni rahisi kwamba hata Kenya inaweza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wapi? Unamaanisha yule alipigwa risasi na sisiemu karibu afe akaja kutafuta usiadizi ya matibabu Kenya ama kuna mwingine?

And for the record, we only came to know about him after he came to Nairobi (majuu) for good medical attention
Labda majuu mlimani..
 
Back
Top Bottom