Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila Ruto yupo fair aisee hii maneno kama ingekuwa kipindi cha Uhuru sahau! Refer how Bakhresa was treated when trying to establish a milling plant in Mombasa!
hakuna cha fair mzee wakenya tabia zao ni zile zile sema tu kwa sasa dunia imewabadilikia ndio wameamua kua wapole ila mkenya ni binaadamu wa kwanza asietaka kuona tanzania ikiwapita kwa chochote 😂😂😂😂😂
 
nafuu gani kaka kapewa mwanza airport mkataba sijui wa miezi sita sasa hvi mwaka unaisha na mwaka wapili utaisha hajamaliza, hatukatai wapewe wazawa lakini sio project kubwa zinazohitaji technology kubwa
Kwa Tanzania labda Estim group Tena iungane na kampuni nyingine! Huyu Rostam alikuwa na kampuni inaitwa Caspian ilikuwa inajishungulisha na engineering works migodini sijui kama bado ipo!
 
Kwa Tanzania labda Estim group Tena iungane na kampuni nyingine! Huyu Rostam alikuwa na kampuni inaitwa Caspian ilikuwa inajishungulisha na engineering works migodini sijui kama bado ipo!
bado ipo ana hio caspian na casco, nashangaa kuona caspian inapewa airport ya mwanza, lakini kwa awamu hii sitoshangaa sana
 
Mombasa City skyline.
Bongoslum skyline kama hii iko dar is a slum pekee.

Image
 
Back
Top Bottom