The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Tutaendelea kuwaonesha utofauti wa timu na genge la wahuni, nyie endeleeni kununua marefa.Utopolo, Mbona kawaida!
Tutaendelea kuwaonesha utofauti wa timu na genge la wahuni, nyie endeleeni kununua marefa.Utopolo, Mbona kawaida!
😂😂😂 hii kauli hawaipendiiiiKama ulaya mwanangu 😘😘😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
Kayoko alipewa sh ngapi? 😁Tutaendelea kuwaonesha utofauti wa timu na genge la wahuni, nyie endeleeni kununua marefa.
Atapandaje wakati presidential coach yao imekaa mkao wa chai maharage mchina Mungu anakuona 🤣🤣🤣🤣Nikumbusheni ni lini Ruto alitumia gari moshi lenu la nginjanginja
sera sio kununua bus kwa wingi sera ni kuvutia wawekezaji kwa kutoa kodi kama sio kupunguza kabisa, mfano tahmeed akinunua bus kutoka china kuleta kenya atalipa kodi zote ila akinunua bus kutoka master ya kenya hatolipa kodi kabisa yani ushuri wa bus, ushuru wa magari tanzania ni mkubwa kuliko hata thamani ya gari lenyeweYutong lazima waweke kiwanda hapa kwakweli maana sio kwa Yutong hizi zinazoagizwa kila siku.
Hapo nyuma tulikuwa hatuna sera nzuri ya kuvutia wawekezaji kwenye vehicles assembling naona sasa tumesharekebisha.
unless hujanielewa nimesema hatutopanda sana unless tufike robo au nusu au fainali kabisaPoint zimeongezeka mkuu na kuna nafasi za kupanda.
Uganda has broken ground for their SGR construction. Starting point Malaba border with Kenya😂😂. I can see their SGR will also support double stacking just like Kenyan, ya Tanzania haiwezi double stacking.
ichoboy01
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1859511196988084547
ichoboy01 hater atanuna 😆😆
Nasubiria maelezo ya Tume maana nimemsikia Rais hapo akisema haipaswi jambo Hilo kujirudia Kwa uzembe na pia kama Tume itapendekeza majengo mabovu kuvunjwa watafanya hivyo.
View: https://x.com/420Cousin/status/1859267423175610373?t=lQxGuuBboQZ7AE0g81usyg&s=19
Mzee umekuaje these days?Geza Ulole naona tumepigwa KO ya nguvu
😂😂😂😂😂
Tofauti yake na choisi variabo siku hizi ni majina tu. 😂😂😂Mzee umekuaje these days?