Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ulitaka biashara ufanye wewe tuu wenzako wafanye nini?
Bomba la mafuta umewanyanganya, imports za Uganda including mafuta umewanyanganya ulitaka wao waende wapi?
Kiakili za kawaida najiambia ya kwamba Uganda hawaezi tupea kila kitu, since kwa kufanya hivyo itakua Tz iko na total control of their economy, wakitepea kila kitu maana yake watakua tegemezi kwetu. Sidhani kama kuna taifa linaeza fanya watanzania wengi tulivyotarajia juu ya Uganda.
 
Kwa akili fupi nikuwa njia ambayo ni fupi kwa kusafirisha mizigo ya Uganda ni Mombasa... Museveni aliwai kuomba apewe full control ya Tanga port kipindi cha mwinyi Tanzania ikawa imekataa kutoka na route aliyotaka kutumia ilikuwa ya mbunga ya wanyama... Lakini pamoja na yote bado Uganda SGR yao wataunga na Portbell ( lake Victoria) kutokana na route kuwa fupi kwani yupo muwekezaji wa meli za container apo Portbell... Nisawa na Rwanda au Burundi shortest route yao ni Tanzania... Kwenda kwao Mombasa ni circumstances nyingine kama ilivyo Mafuta kwa Uganda kupitia Dar Port...
 
Public Transport in Africa's most developed city. Nairobi
1732448852433.jpg
 
Public Transport in Africa's most developed city. Nairobi
View attachment 3160518
Duuuuhhhh,,, c kuna jamaa mmoja humu alituchekaga sisi tuna daladala na wao wana matatu? Sasa hivi vigar hapo vinafanya nini mjini!? Na hata havina hadhi ya kuitwa daladala kwetu? Wakunya
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mzee umekuaje these days?
hili ni pigo kaka hata tukisema tufiche, siku zote tulikua tunafukuzia huu mradi wa uganda tena tumetumia nguvu kuuchelewesha kwa fitna leo umetuponyoka kirahisi,

anyway tuendelee kusifia tu 😂😂😂
 
Hakuna knockout wala nini hapo it is natural for Uganda to link up with Kenyan SGR. Later on they will link up with Tz Sgr including Rwanda Burundi and DRC.
sasa tulikua tunaukimbilia wa nn na kufanya figisu ikiwa tulijua haitakua upande wetu?

unataka kunambia bomba la mafuta haikua rahisi kupita kenya kuliko tanzania? wakat kuna diff ya zaidi ya km 200 kama sio 300 ingepita kenya.
 
Wewe ulitaka biashara ufanye wewe tuu wenzako wafanye nini?
Bomba la mafuta umewanyanganya, imports za Uganda including mafuta umewanyanganya ulitaka wao waende wapi?
mzee kaa ukubali ukatae tanzania na kenya kuna vita baridi vya kiuchumi ndio maana unaona kuna ushindani sana kwenye uchumi, kama hatukua na nia ya kuonganisha reli kwenda uganda kwann tulikua tunamshawishi uganda kuunganisha na bukoba? hvi ww unafkiri reli ikikamilika hayo mafuta unayodai yatapita tanzania kwenda uganda?
 
Back
Top Bottom