ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
au sio tukisema hapa tunaonekana mamluki wakat ndio ukweli tunaosema😂Jamaa anaakili za kibinafsi sana.
au sio tukisema hapa tunaonekana mamluki wakat ndio ukweli tunaosema😂Jamaa anaakili za kibinafsi sana.
hatuwez kua tunasifia kila kitu mzee lazma kuna mambo tuyaseme wazi 😂😂Kapata demu wa kinyangau anasimamiwa akiwa anafanya typing 🤣🤣🤣
still long journey hata kama kwa mwanza tukubali tukatae tumeshindwa vita 😂😂Bado kwa kupitia mwanza tunaweza mfikishia Uganda mzigo kwa wakati na kwa gharama nafuuu sana kuliko hata hiyo ya kenya
kwan kaka unaeza niambia kwann bomba la mafuta litapita tanzania ikiwa kwa kenya wangeokoa over 250km, na unaeza niambia kwann tuliingilia deal la mkenya ikiwa hakuna vita vya kiuchumi kati ya tanzania na kenya ? na kwann tuli force sana SGR ipite bukoba kwenda uganda na tukaponda sana kupita malaba au tumesahau yote hapa??Kiakili za kawaida najiambia ya kwamba Uganda hawaezi tupea kila kitu, since kwa kufanya hivyo itakua Tz iko na total control of their economy, wakitepea kila kitu maana yake watakua tegemezi kwetu. Sidhani kama kuna taifa linaeza fanya watanzania wengi tulivyotarajia juu ya Uganda.
hata mafuta kupita dar port ni suala la muda tu tena halitachukua muda mrefu weka maneno yangu kama akibaKwa akili fupi nikuwa njia ambayo ni fupi kwa kusafirisha mizigo ya Uganda ni Mombasa... Museveni aliwai kuomba apewe full control ya Tanga port kipindi cha mwinyi Tanzania ikawa imekataa kutoka na route aliyotaka kutumia ilikuwa ya mbunga ya wanyama... Lakini pamoja na yote bado Uganda SGR yao wataunga na Portbell ( lake Victoria) kutokana na route kuwa fupi kwani yupo muwekezaji wa meli za container apo Portbell... Nisawa na Rwanda au Burundi shortest route yao ni Tanzania... Kwenda kwao Mombasa ni circumstances nyingine kama ilivyo Mafuta kwa Uganda kupitia Dar Port...
watoto wa Kigogo wajinga sana! Kuna mahali Bongo wanalazimishiwa maendeleo lakini akili zao zimejaa matope!kuna shida kubwa sana 🙌🏻🙌🏻
View attachment 3160588
Hapa asilimia kubwa ni vipanya.Public Transport in Africa's most developed city. Nairobi
View attachment 3160518
Hakuna mtu mwenye akili atajenga nyumba ya mlango mmojo, wakati Mombasa ni jirani zaidi wanapitisha mizigo yao mingine Dar wanajua athari za kutegemea njia moja isiyokuwa yao.still long journey hata kama kwa mwanza tukubali tukatae tumeshindwa vita 😂😂
situlikua tunahisifu hapa mseven ni mtanzania 😂😂😂😂😂
Isn’t that what you call Arusha ?… correct me if am wrong…Shuga ndio nini?
Leave that, kama tumetuma an official instead of the president, it could mean ni sisi hatujachukulia event seriously, not Ugandans 🤣Kiaje? Ulitaka Ruto aende while alikuwa anadress the nation from Parliament? Wewe siju hizi uzee unapotea na akili zako.
Bomba lingepita wapi Kenya huko maporini terrain ni mbaya hakuna njia vifaa vingesafirishwaje?sasa tulikua tunaukimbilia wa nn na kufanya figisu ikiwa tulijua haitakua upande wetu?
unataka kunambia bomba la mafuta haikua rahisi kupita kenya kuliko tanzania? wakat kuna diff ya zaidi ya km 200 kama sio 300 ingepita kenya.
Tanzania has always wanted to serve Uganda through lake victoria ndio maana umeona priority yetu ni kupeleka reli DRC kwanza sio Uganda na bado we are on course. Kwani kama priority ingekuwa Uganda si ungekuta kuna mchakato wa reli from Isaka to Mtukula lakini kwa sasa hiyo plan haipo mradi wa sgr unaofuatia according to serikali ni mtwara mbamba Bay kwenye madini ya chuma na makaa ya mawe.sasa tulikua tunaukimbilia wa nn na kufanya figisu ikiwa tulijua haitakua upande wetu?
unataka kunambia bomba la mafuta haikua rahisi kupita kenya kuliko tanzania? wakat kuna diff ya zaidi ya km 200 kama sio 300 ingepita kenya.
Mafuta gani tena wakati Uganga atakuwa na mafuta yake by 2026.mzee kaa ukubali ukatae tanzania na kenya kuna vita baridi vya kiuchumi ndio maana unaona kuna ushindani sana kwenye uchumi, kama hatukua na nia ya kuonganisha reli kwenda uganda kwann tulikua tunamshawishi uganda kuunganisha na bukoba? hvi ww unafkiri reli ikikamilika hayo mafuta unayodai yatapita tanzania kwenda uganda?