Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Ulifkiri kwenda china ni kwenda kibera.?😂😂😂Wee fukara, nishawahi post hapa picha nikiwa China wewe unaniambia mambo ya Vumbistan? Hii Vumbistan moja ambayo naweza amua hata hii weekend nikuje na nirudi? Kweli ufukara unakufanya uone mambo ya kawaida kuwa miujiza Mr. Baboon. 🤣 🤣 🤣