Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,763
Wangeshinda hata goli 100+ wangekuwa na points 8, Zimbabwe ana 9. Labda wapite kuzimu.Wangefunga goli walau 2 walikua wanapita Kwa goal difference .
Baada ya Afcon 2025 rank yetu ya FIFA itaongezeka sana.Hawa wazuri wa kupika data na kuamini data za kijinga!
Bgoja waje na fifa ranks hapa waku9neshe walivyo juu!
Hawa majirani ni wataalamu wa kuangalia AFCON kwenye TV π€£π€£π€£π€£HURREEEE IT'S OVER tumeenda tumewafunga bwana majirani na ninyi mkazeeee
Haramber Stars head coach said it all π
We nyangau acha maneno mengi tupe hongera zetu basi.So nijifiche because Tanzania imequalify for AFCON which they are going to end up losing games zote? Hata haiezinisumbua akili.
Aki unajua kukera wewe πNa wale haters waliosubiria kumzodoa Samia πππππ
View: https://x.com/420Cousin/status/1858886790767108149?t=EkR_HiPzPDIqog3aR77iBQ&s=19
Hawezi kutoa hongera huyo nyangβau. Leo siku nzima nimemsikia analia tuπWe nyangau acha maneno mengi tupe hongera zetu basi.
Tutawakilisha East Africa ikiwa ni pamoja na Kenya kwahiyo muanze kuzoea kutushangilia AFCON 2025. Nyie msubiri AFCON ya mbeleko 2027 π€£π€£π€£After kufuzu mtafanya nini huko? Ama unasahau Tanzania haijaisha Sa any game ya AFCON? Hao wote wenye unataja have won so many games.
Hawa nyangau wangeleta mechi zao Tanzania tungewafundisha jinsi ya kushinda decisive matches lakini ni aibu tuu inawafanya waikimbie Tanzania π€£π€£π€£
alaf suluhu ya wahanga huko kariakoo inasubiriwa michango ya watanzaniaπHaters kina ichoboy01 and the likesnaitwa huku ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DCjputePbo5/?igsh=eGN6OWQ0dmhqN3Q5
alaf yule kocha mpemba hakumuita kwasababu gani? nilikua najiuliza sanaMsuva asee aendelee kuwa Taifa Stars hata kama hana timu jamaa ana bahati na hiyo timu ukiangalia ni game changer mkubwa.
ππππ hawana chakujisifia sasa wacha watumie nguvu nyingi kusifia simba na yanga na taifa starsAcha kutuharibia ushindi na kujishikiza na uchawa katafuta point zenu kwenye Mambo mengine.
πππππππππππππAmeingiaje hapa au unataka na STAZ ianze kuwa ya siasa?
bila yeye kwamba kafanya nn kahonga refa au kahonga CAF ?ππππππNgoja nikuharibie zaidi. Ni hivi kadiri unavyoweka chuki Kwa SSH ndivyo unampa baraka.
Samia ana nyota Kali sana na Bado mtaona mengi Mazuri yajayo ,hii inaitwa usiyempenda kaja.ππ
View: https://x.com/shaffihdauda1/status/1858890086118506546?t=fWVg7Gq5fVmlLvHPHutFnQ&s=19
alaf wahanga wa kariakoo wanasubiri michango ya watanzania
ni kweli tatizo ni kocha wetu mpemba hata mm nilishangaa kwann kocha mpemba kamuacha msuvaπππMsuva ndio awe nahodha Huwa anajituma na anaisaidia Timu
kuongezeka sana hapana itategemea ni hatua gani tutafika kama ni yale yale yakuishia makundi basi ujue hatutopanda sanaBaada ya Afcon 2025 rank yetu ya FIFA itaongezeka sana.