Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Emirata E3 Bus number 4 for Buscar.

1731605110753.jpeg

1731605202617.jpeg

1731605225668.jpeg

1731605251827.jpeg
 
Acha ujinga kenya hakuna magari mengi kuliko Tanzania ila kenya entire population iko concentrated hapo central western area imagine fitting 50m people in Northern Tanzania regions of Manyara and Arusha only unafikiri car density itakuwaje? On the other hand Tz population is scattered all over Tanzania.
Mwenzako anasemea gari kama hizi
 

Attachments

  • b644ce212aabe2a2203d65b87dc5bce1.mp4
    1.8 MB
China south africa na america kuna foleni kila siku na kuna flyover nyingi kuliko africa yote
Hizo nchi kwanza ukianza na China mji wake mmoja ni sawa na population nzima ya Kenya.
Shanghai peke yake ina wakaazi milioni 58+.
Kenya mko wangapi in population!??
Mkuu unaleta mifano mfu kabisa.
Population ya China peke yake inakimbizana na population ya Africa.
 
Kisumu has a lot of construction going on. Kwanza there are construction of 17 buildings of 17 floors each, something that is not happening anywhere in Tanzania.
ziko wapi hzo construction naomba tuzuone na ulete majina ya hayo majengo tunayasubiri 😂😂😂😂😂😂
 
Mpumbavu ni wewe ,Tanzania haifungamani na upande wowote.

By the way hao unaoita marafiki wa kweli ni maskini Fulani wasio na Msaada ,ujinga wa hivi ndio ulisabanisha kina Nyerere kutumia Rasilimali Fedha,watu na mda kuhangaikia uhuru wa Vinchi vya kipumbavu ambavyo havina Msaada wowote Kwa Tanzania.

Maslahi yazingatiwe.
kwani huyo mchina tunaemlilia kila siku yuko wapi?? au hayuko BRICS??

ww sometimes unakuaga kama mwehu vile kwa taarifa yako BRicS ndio kimbilio la mataifa yote duniani kwa sasa, siasa za kidunia zishabadilika na watu wameshaona mbali sana

unasema BRIcS haina msaada na tanzania wakat kutwa tunaramba makalio ya mchina hapa 😂😂😂😂😂😂

hao mabeberu mpaka sasa hvi wamekupa msaada gani ?? wakat madini yalikua yanaibiwa hapa mpaka changa unasombwa alaf umekaa hapa na ubongo umejaa funza ukisema wanamsaada na tanzania wakat wanakupa shs 10 wanachukua mabilioni 😂😂


ukipinga ushoga wanakunyima mikopo alaf hawa ndio wenye msaada na tanzania ???? kunguni kweli wewe
 
Back
Top Bottom