Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kalipeni mishahara ya walimu na madaktari na countries mpeleke hela si za mafungu.
Remember Tanzania and Somalia are the only countries in East Africa washaishindwa kulipa loan hadi wakasemehewa. So don’t dictate to us how we should utilise our funds.
 
Wakati Tanzanian highways are still muddy and dusty, this is Turkana.

Good evening from Turkana.
1731516936583.jpeg

1731516957219.jpeg

1731516978693.jpeg
 
Huu ni upumbavu, tunahitaji warafiki zetu wa kweli,na rafiki zetu wa kweli wapo BRICKS. SIO hawa mabeberu
Mpumbavu ni wewe ,Tanzania haifungamani na upande wowote.

By the way hao unaoita marafiki wa kweli ni maskini Fulani wasio na Msaada ,ujinga wa hivi ndio ulisabanisha kina Nyerere kutumia Rasilimali Fedha,watu na mda kuhangaikia uhuru wa Vinchi vya kipumbavu ambavyo havina Msaada wowote Kwa Tanzania.

Maslahi yazingatiwe.
 
Naona kama wana mpango wa kutuvutia kwao ukumbuke sisi hatufungamani na upande wowote tunatakiwa kujali masilahi yetu tu
Ila BRICs walivyotualikaga kama Obser kwani wao walikuwa wanavutia upande upi?

Tanznaia twende kote kote Cha msingi ni maslahi yetu tuu badala ya kuwa ukoloni la Kambi Fulani directly kama Kundustan
 
Nionyeshe mahali kenya kuna flyover 'bila uhutaji' 🤣🤣
Naomba nikuulize swali moja tu na unijibu honestly.
Licha ya ma flyover yaliyojaa Kenya je kati ya Kenya na Tanzania yenye flyover chache wapi Kuna foleni kupitiliza!??
Jibu honestly tafadhali.
 
Naomba nikuulize swali moja tu na unijibu honestly.
Licha ya ma flyover yaliyojaa Kenya je kati ya Kenya na Tanzania yenye flyover chache wapi Kuna foleni kupitiliza!??
Jibu honestly tafadhali.
Wewe quack man show us flyovers outside Dar.
 
Back
Top Bottom