Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kuna magari kuliko tanzania na tz ndo wengi ki population kuliko Kenya kuonyesha kenya ni matajiri zaidi
Acha ujinga kenya hakuna magari mengi kuliko Tanzania ila kenya entire population iko concentrated hapo central western area imagine fitting 50m people in Northern Tanzania regions of Manyara and Arusha only unafikiri car density itakuwaje? On the other hand Tz population is scattered all over Tanzania.
 
Mpumbavu ni wewe ,Tanzania haifungamani na upande wowote.

By the way hao unaoita marafiki wa kweli ni maskini Fulani wasio na Msaada ,ujinga wa hivi ndio ulisabanisha kina Nyerere kutumia Rasilimali Fedha,watu na mda kuhangaikia uhuru wa Vinchi vya kipumbavu ambavyo havina Msaada wowote Kwa Tanzania.

Maslahi yazingatiwe.
Huo haukua upumbavu wa hizo nchi, ulikua nibupumbavu wa Nyerere mwenyewe! Usitake kulaumu watu waiohusika kwenye upumbavu wetu wenyewe.
 
Because they know better. Sio kama hao wenu who settle for less and can't complain for better and more improved terms
Our government ni sikivu and delivers on all fronts we can't complain much.
Sisi huwa tuna sort out our problems in a consultative manner na decisions reached by the government are all inclusive unlike nyie state ya makanjanja kila mtu kambale.
 
Huo haukua upumbavu wa hizo nchi, ulikua nibupumbavu wa Nyerere mwenyewe! Usitake kulaumu watu waiohusika kwenye upumbavu wetu wenyewe.
Nae alikuwa na mawazo kama Yako badala ya kuangalia atanufaikaje.

Ethiopia inajenga Barabara Sudan Kusini Kwa malipo ya Mafuta.

Uganda inajenga Barabara DRC na Central Africa Republic Kwa makubaliano ya Mkopo

Tanzania tunafanya Bure eti tunadumisha udugu, upumbavu
 
Back
Top Bottom