ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,971
- 89,207
Tutachagua Mikoa na tutalima Kwa contracts Kwa watu ambao watapewa leseni.Halafu tuache kulima chakula! Hujifunzi kilimo cha miraa Ukunyani na balaa la njaa?
Wengine walime Bangi na wengine chakula tuuziane