Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whatever TRA collects in 4 months KRA collects in one month.

1731495365800.jpeg
 
Hawa watu ni watu wa kuacha wajifurahishe, imagine leo mtanzania anataka kushindana na Kenya kwa mambo ya interchanges😂😂
Interchange wakati kwao lazima uende Dar ndio uone interchange, Kenya karibia county zote Kuna interchange. 😂😂
 
Mkuu kuna watu wanaharibu sn hii thread, kutwa kucha wanapiga kampeni humu wakati thread za kampeni zipo, cjajua ni kwnn hawapigwi ban. Wanatuharibua hii thread na kuna wadau washaingia mkenge, mm cku hizi hata kuingia jf naona uvivu mana unakuta mtu anaweka miradi isiyohusika kabisa na thread, ni sawa kuweka mara moja moja lkn kwa sasa imekuwa too much, inakera sn, hata cc tutatoka humu tuwaachie wao jf mana mm jf thread yangu ni hii hii, sasa wakiiharibu kama hivi nakuwa sina jinsi ya kubaki humu.
Ile thread ya MAN U vipi mzee?
 
Hawa watu karibuni watanyangánya Nigeria trophy yao ya wizi, ukora na ujambazi. Teargas alisema humu hamtakikani Afrika Kusini mkaona ni mzaha. Mna bahati hapa Kenya tuna serikali ya ovyo ila ile siku tutakua na serikali serious mtahamishwa wote.

Kwahiyo Kenya mna serikali ya hovyo miaka yote? Mbona mkileta ujinga huku kwetu tunawafukuza na tunawabebesha kibao kabisa cha "Mimi ni mwizi kutoka Kenya" nyinyi mnashindwa nini? Mnabaki kuongopa ongopa eti ombaomba from Tanzania kumbe ni ndugu zenu. Ombaomba gn anamiliki passport ya kusafiria, ombaomba gn anaweza kutoka Tanzania nchi ya asali na maziwa aje Kenya nchi ya njaa na mabalaa?
 
Back
Top Bottom